Tuache kufurahia mizaha mpaka kwenye mambo Matukufu ya Mungu

Ila Kiranga huwa na moyo kweli kukomaaa na watu kama hawa. Yaani Nyumisi umepewa andiko limejaaa points, nahisi hata hujalisoma, maana ungelisoma ungekua surprised sana na usingeweza kutoa majibu marahisi kama hayo.
Huyu nina wasiwasi hata hiyo lugha haielewi.

Angeielewa hata kidogo angeona hata aibu na kusepa, huku akisoma mi point yote hiyo polepole.

Hawa wengine najibizana nao si kwa sababu ya kuwaelewesha wao, bali kuna watu wengine kama wewe watafuatilia mjadala na kuona machicha yako wapi na tui liko wapi.

Asante kwa kufuatilia.
 
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha roho ipo kweli na si hadithi tu?

Kwa nini Mungu wako ahitaji watu wasome kitabu ili kumuelewa? Alishindwa kutupa uelewa wa kumuelewa yeye bila kusoma kitabu?
Roho wa Mungu anathibitishwa kwa kazi anazotenda kwa waumini, zingatia neno 'waumini'. Huwezi kuthibitisha maelekezo ambayo kocha anawapa wachezaji kwenye chumba cha mapumziko kama wewe si miongoni mwa hao wachezaji...
 
Kiranga unapenda kutumia neno THIBITISHA ili uipe nguvu hoja yako kuanzia Leo ukiacha kulitumia hili neno basi huna hoja bla bla tu!!

wewe mwenyewe ukiambiwa thibitisha Kama hakuna Mungu huwezi kujibu

Kwanza wewe kiumbe umetoa wapi kiburi chakumkana MUNGU?
 
Mimi siamini kwenye dini yeyote ila naamini lazima kuna external force iliyoumba ulimwengu na vitu vyote and that force might to be a God
 
Kuufahamu ufalme wa Mungu na ukuu wake ni ngumu sana kama ilivyo simple kuutenda ubaya unaenda kinyume na matakwa ya amri za Mungu.

Sawa na kunenepa hujitambui unajistukia eeh tayari nimeongezeka... ila kurudi kwenye wembamba ni shughuri pevu.

Ufalme wa Mungu utatekwa na wenye nguvu pekee.
 
Munguuuuuuu njoooo viumbe vyako vina bishana uku..maana ulisema niiteni nami nitawaitikia..tunakwita sasa uje umalize ubishi...maana unasema unatupenda sana...
 
Kuna watu sio tu ni waovu, na wakosaji, bali wamevuka hiyo mipaka hadi kufikia hatua ya kuleta mizaha mpaka kwenye mambo matukufu ya Mungu, kudhihaki, kukejeli, kukashfu Neno la Mungu, na wokovu kwa ujumla kwao ni jambo la kawaida.

Watu wanaifanyia biblia comedy kwenye majukwaa na watu wamelipa kiingilio, wameketi pale chini wanacheka na kufurahia.

Biblia ni kitabu cha story za vichekesho? Wanaonekana kwenye tv au youtube.

Na wengine wanatunga hizi memes za status Na wengine wanasambaza. Mambo hayo Ni machukizo.

Sote tunakosea ila Sasa tusifike stage ya kuleta mizaha kwenye mambo matakatifu ili kusudi ufurahishe watu tu.

Mfano Kuna mtu kapost eti "vile umeenda mbinguni halafu umekuta kitabu cha dhambi kimepotea" hiko kibwagizo kina picha Kama watu wanacheka na kufurahia.

Bnafsi naona sio sahihi ni mbinu tu za adui kutusahaulisha mambo ya msingi.
Naunga mkono hoja. Watu wenye tabia hizo waache mara moja.
 
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha roho ipo kweli na si hadithi tu?

Kwa nini Mungu wako ahitaji watu wasome kitabu ili kumuelewa? Alishindwa kutupa uelewa wa kumuelewa yeye bila kusoma kitabu?
Unajua binadamu pia ana roho, ndo maana mtu akifa wanasema amekata roho? ni roho ipi unayotaka nithibitishe hasa. Kama ni Roho wa Mungu nimeshaongelea hapo juu, ni hali wanayo experience wale waliojenga imani katika neno la Mungu na siyo jambo la kusimuliwa. Roho wa Mungu anakuwa manifested katika nguvu, uweza, mamlaka, miujiza na maajabu ambayo yako beyond human comprehension.
 
Stress za Njaanuary hizi..muache kukaza shingo kwa mambo madogo ya kawaida hayo.
 
Unajua binadamu pia ana roho, ndo maana mtu akifa wanasema amekata roho? ni roho ipi unayotaka nithibitishe hasa. Kama ni Roho wa Mungu nimeshaongelea hapo juu, ni hali wanayo experience wale waliojenga imani katika neno la Mungu na siyo jambo la kusimuliwa. Roho wa Mungu anakuwa manifested katika nguvu, uweza, mamlaka, miujiza na maajabu ambayo yako beyond human comprehension.
Unajuaje mtu anapokufa "kukata roho" si msemo tu wa kuelezea kwamba huyu hayuko hai tena?

Unaweza kuthibitisha hiyo roho ipo kweli?

Unaelewa kwamba mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo wala roho ipo?
 
Kiranga unapenda kutumia neno THIBITISHA ili uipe nguvu hoja yako kuanzia Leo ukiacha kulitumia hili neno basi huna hoja bla bla tu!!

wewe mwenyewe ukiambiwa thibitisha Kama hakuna Mungu huwezi kujibu

Kwanza wewe kiumbe umetoa wapi kiburi chakumkana MUNGU?
Mungu ni nini? Unaweza kuthibitisha yupo kweli na si hadithi tu?
 
Bwana Jurjani kam-replay Kiranga lakini naona kiranga hajajibu bado 😑
Hawa wengine ni flat earth society members nimewaweka ignore list nisijibizane na watu wasiojua hata misingi ya kujibizana na kutukanana nao bure tu.

Hivyo hata sioni wanachoandika wengine.

Kama unaona kuna cha muhimu kujibu, kwa heshima yako naweza kujibu.

Naomba namba ya post.
 
Ulitumia vigezo gani kuchagua hiyo njia yako?
Mimi... mapambano na mabishano haya ya Dini YAMENISHINDA....nshachagua njia yangu...Nayo Ni Quran na Sunna za Mtume Mohammed (P.BU.H)
Hapo hakuna atakae nitoaaa
 
Unaweza kuheshimu kitabu kinachosema uongo na kinachohalalisha utumwa?
Invalid argument,

1)Utumwa ulikua kawaida kwa kpnd kile bible inaandikwa kama ilivyo kuwa na wafanyakazi wa ndani kwa sasa. Af utashangaza umati kama ukitafsiri biblia exactly ilivyoandikwa coz imejaa mafumbo na mambo mengi yaliandikwa kuendana na utamaduni wa kipindi kile.

2)Ukiamua hata ukweli unaweza kuuita uongo lkn hio haitobadili the fact kwamba ni ukweli.

Biblia ina authority kubwa sana mkuu najua unafahamu hilo lkn hautaki tu kukubali coz hauamini uwepo wa Mungu. Na kama isingekua na authority basi wangekua wanatumia vitabu vya law au science kuweka viapo na kuapishana lkn zaidi ya 80% ya viongozi duniani wanatumia bible au quran kuweka viapo
 
Kwanza kabisa sijaitaja Biblia, nimeuliza tu, unaweza kukiheshimu kitabu kinachosema uongo na kinachohalalisha utumwa?

Hujajibu swali hilo.

Hiyo Biblia unayosema imejaa mafumbo, Mungu wako ameshindwa kuifanya iwe ya wazi ieleweke kinagaubaga bila mafumbo na kila mtu?

Angefanya hivyo ingesaidia sana kuzuia vita za kidini, watu kuuana, familia kufarakana, viongozi wa kisiasa kutumia dini kisiasa etc.

In fact, huyo Mungu wako ameshindwa kuweka maagizo yake kwenye DNA tuyaelewe vizuri tu tusihitaji hata kitabu?
 
Ni kweli mkuu, kumekuwa na maigizo meng sana tena yasiyo yalazima, kwamfano christmass watu wakaanza post picha za Yesu feki wanasema birthday boy mara watafute picha za Yesu feki akiwa kifua wazi etc ila voti kama hivi viliandikwa vitatokea ili mwisho kila goti limkili kuwa yeye ni Mungu...
Wewe picha original ya Yesu unayo?
 
Back
Top Bottom