Tuache kufurahia mizaha mpaka kwenye mambo Matukufu ya Mungu

Ulienda shule kweli?
Kwani hili swali hili nililo kuuliza linataka niende shule gani au kowango gani cha shule ? Kama wewe uie enda shule limekushinda ? Kam shule zenyewe zinatoa wanafunzi kama wewe bora sijaenda tu shule.

Hivi kijana unafikiria kweli ? Kwanza kitu ambacho hakipo wewe unakijiaje kama hakipo ?
Nathibitishaje kitu ambacho hakipo.
Sasa umejuaje kama hakipo ? Hili swali hujaliona ? Au ndiyo mnaandika andika tu kisa umeshiba ugali. Jibu swali nililo kuuliza.
Ingekua hesabu ningeweza kuthibitisha hasi, kwenye probability unaweza kuthibitisha negative, lakini assumption is constant.
Acha mbwembwe kijana, tuambie umejuaje kama Mola hayupo, na utuanbie ili kitu kiwe hakipo unakijuaje na kina sifa gani ?

Ona upuuzi wako, yaani jambo tayari limeshawekewa "Constant" unajifaragua kama unathibitisha hapo au kuna ithibati hapo. Sasa leo nakufundisha ili ukawaambie na wenzako jambo lolote ambalo ndani yake kuna "Assumptions" ujue watunzi walishindwa kung'amua jambo hilo wakaamua kuficha jambo ili kufikia lengo au makubaliano yao.
Sasa mungu hawajawi kuwepo, hawahi kuonekana, hajawahi kusikkika ukiachia hizi hadithi za wanaoitwa mitume na manabii, unataka nimthibishe?
Sasa hili mbona rahisi sana, wewe tuambie unakijiaje kitu ambacho hakijawahi kuwepo ? Au unaota nini kijana. Embu kwa akili yako tu ya kawaida kotu ambacho hakijawahi kuwepo unakidiriki vipi yaani unakijuaje juaje ?

Vijana mnatupa tabu san kuwaelewesha mambo mepesi kama haya. Yaani akili zenu zimeshikiliwa na wajinga fulani waovu waovu wazandiki.

Kwahiyo wanayoyasema mitume na manabii ya uongo, embu chukua uongo mmoja kisha uukanushe kwa ithibati, ukiweza naacha kitumia hii ID, tena itakuwa vizuri zaidi kama ukijikita kwa Mtume Muhammad.
Hivi ulienda shule kweli ama ndio sampuli ile ile mnaoenda shule kusoma mfaulu mitihani?
Sijaenda shule niende shule ili iweje ? Sasa wewe ulie enda shule mbona umekuwa mjinga kiasi hiki ? Hizi shule zinawafanya muwe mazwazwa sana.

Nimekuuliza swali rahisia sana thibitisha na utuambie umejuaje kama hayupo, unaleta dibaji ooooh, mara kitu hakipo hakithibitishiko, sasa umejuaje kama hakipo ?
Rudi shule uongeze maarifa.
Nirudi shule gani ? Nikasome nini ? Nirudi shule uliyosomela wewe ?Kwa ujinga ulio nao bora niwasaidie wake zangu kumenya vitinguu wazidi kunipenda.
 
Kumbe Yesu na Mungu ni watu wawili tofauti ?

Kama hujui hata hilo, na unawataja Yesu na Mungu kama 'watu'... basi hutoshi kujadili nami zaidi ya hapo.

Yesu alizaliwa na kuishi na jamii, atawezaje kusema 'hakuna aliyepata kumuona' na akaishi?
 
Tuko pamoja ,,Yani ukiongeza ufahamu wako na ukafikilia zaidi utagunduwa kuwa uwepo wa mungu ni story tuu kama story nyingine
Leteni hoja zenu kama nyinyi mnasema kweli.

Watu ambao hamtuambii yakuwa mmejuaje kama Mola hayupo, mnafarijiana ya kuwa ukifikiria sana unagundua kwamba ni story, thibitisheni hili.
 
Thibitisha kwanza uwepo wake kabla ya kusema kuna maneno yake
niliomba nipate kazi jumapili kwa kufunga, jumatatu kesho yake nikapeleka maombi office fulani nikaambiwa nianze kazi week linalokuja.....wewe thibitisha kama hayupo?
 
Kama hujui hata hilo, na unawataja Yesu na Mungu kama 'watu'... basi hutoshi kujadili nami zaidi ya hapo.

Yesu alizaliwa na kuishi na jamii, atawezaje kusema 'hakuna aliyepata kumuona' na akaishi?
Alizaliwa na jamii ila asili yake ni wapi? Kuzaliwa ilikuwa tu ili abebe umbo la nyama aweze kutuvua udhaifu wetu (dhambi) ila asili yake ni mbinguni
 
niliomba nipate kazi jumapili kwa kufunga, jumatatu kesho yake nikapeleka maombi office fulani nikaambiwa nianze kazi week linalokuja.....wewe thibitisha kama hayupo?
Hapa umethibitisha Mungu yupo au umenieleza vile ulivyopata kazi?
 
Alizaliwa na jamii ila asili yake ni wapi? Kuzaliwa ilikuwa tu ili abebe umbo la nyama aweze kutuvua udhaifu wetu (dhambi) ila asili yake ni mbinguni

Kama Yesu ni Mungu, na alizaliwa akaishi katika hilo umeita umbo la nyama... anawezaje kusema hakuna waliopata kumuona?
 
2 Wathesalonike 2:1-17

Yule Mtu Wa Kuasi
Ndugu, kuhusu kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanyika kwetu pamoja mbele zake, tunawasihi, msiyumbishwe kwa urahisi wala msitiwe wasiwasi na roho wala neno au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu, isemayo kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwako.Mtu yeyote na asiwadanganye kwa namna yoyote kwa maana siku ile haitakuja mpaka uasi utokee kwanza, na yule mtu wa kuasi adhihirishwe, yule ambaye amehukumiwa kuangamizwa kabisa. Yeye atapingana na kujitukuza juu ya kila kitu kiitwacho Mungu au kinachoabudiwa, ili kujiweka juu katika Hekalu la Mungu, akijitangaza mwenyewe kuwa ndiye Mungu.
Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya? Nanyi sasa mnajua kinachomzuia, ili apate kudhihirishwa wakati wake utakapowadia. Maana ile nguvu ya siri ya uasi tayari inatenda kazi, lakini yule anayeizuia ataendelea kufanya hivyo mpaka atakapoondolewa.Hapo ndipo yule mwasi atafunuliwa, ambaye Bwana Yesu atamteketeza kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kabisa kwa utukufu wa kuja kwake.Kuja kwa yule mwasi kutaonekana kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu ya uongo, na kila aina ya uovu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa. Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo, na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu

Sent using Jamii Forums mobile ap
Kwani hili swali hili nililo kuuliza linataka niende shule gani au kowango gani cha shule ? Kama wewe uie enda shule limekushinda ? Kam shule zenyewe zinatoa wanafunzi kama wewe bora sijaenda tu shule.

Hivi kijana unafikiria kweli ? Kwanza kitu ambacho hakipo wewe unakijiaje kama hakipo ?

Sasa umejuaje kama hakipo ? Hili swali hujaliona ? Au ndiyo mnaandika andika tu kisa umeshiba ugali. Jibu swali nililo kuuliza.

Acha mbwembwe kijana, tuambie umejuaje kama Mola hayupo, na utuanbie ili kitu kiwe hakipo unakijuaje na kina sifa gani ?

Ona upuuzi wako, yaani jambo tayari limeshawekewa "Constant" unajifaragua kama unathibitisha hapo au kuna ithibati hapo. Sasa leo nakufundisha ili ukawaambie na wenzako jambo lolote ambalo ndani yake kuna "Assumptions" ujue watunzi walishindwa kung'amua jambo hilo wakaamua kuficha jambo ili kufikia lengo au makubaliano yao.

Sasa hili mbona rahisi sana, wewe tuambie unakijiaje kitu ambacho hakijawahi kuwepo ? Au unaota nini kijana. Embu kwa akili yako tu ya kawaida kotu ambacho hakijawahi kuwepo unakidiriki vipi yaani unakijuaje juaje ?

Vijana mnatupa tabu san kuwaelewesha mambo mepesi kama haya. Yaani akili zenu zimeshikiliwa na wajinga fulani waovu waovu wazandiki.

Kwahiyo wanayoyasema mitume na manabii ya uongo, embu chukua uongo mmoja kisha uukanushe kwa ithibati, ukiweza naacha kitumia hii ID, tena itakuwa vizuri zaidi kama ukijikita kwa Mtume Muhammad.

Sijaenda shule niende shule ili iweje ? Sasa wewe ulie enda shule mbona umekuwa mjinga kiasi hiki ? Hizi shule zinawafanya muwe mazwazwa sana.

Nimekuuliza swali rahisia sana thibitisha na utuambie umejuaje kama hayupo, unaleta dibaji ooooh, mara kitu hakipo hakithibitishiko, sasa umejuaje kama hakipo ?

Nirudi shule gani ? Nikasome nini ? Nirudi shule uliyosomela wewe ?Kwa ujinga ulio nao bora niwasaidie wake zangu kumenya vitinguu wazidi kunipenda.
Hahahaha, nilitegemea tu vitu kama hivi.

Huyo mnaemuita mungu hayupo na wala hakuna kitu kama hicho.

Nikiona tu mtu anasema nithibitishe mungu hayupo, najiondoka kabisa kwenye mjadala.

Narudia ushauri wangu, rudi shule, mijadala kama hii huiwezi.
 
Mimi... mapambano na mabishano haya ya Dini YAMENISHINDA....nshachagua njia yangu...Nayo Ni Quran na Sunna za Mtume Mohammed (P.BU.H)
Hapo hakuna atakae nitoaaa
Kwani wapi nimetaka kumtoa mtu kwenye dini yake?

Hojaji iko palepale, na haijajibiwa.
 
Kuna watu sio tu ni waovu, na wakosaji, bali wamevuka hiyo mipaka hadi kufikia hatua ya kuleta mizaha mpaka kwenye mambo matukufu ya Mungu, kudhihaki, kukejeli, kukashfu Neno la Mungu, na wokovu kwa ujumla kwao ni jambo la kawaida.

Watu wanaifanyia biblia comedy kwenye majukwaa na watu wamelipa kiingilio, wameketi pale chini wanacheka na kufurahia.

Biblia ni kitabu cha story za vichekesho? Wanaonekana kwenye tv au youtube.

Na wengine wanatunga hizi memes za status Na wengine wanasambaza. Mambo hayo Ni machukizo.

Sote tunakosea ila Sasa tusifike stage ya kuleta mizaha kwenye mambo matakatifu ili kusudi ufurahishe watu tu.

Mfano Kuna mtu kapost eti "vile umeenda mbinguni halafu umekuta kitabu cha dhambi kimepotea" hiko kibwagizo kina picha Kama watu wanacheka na kufurahia.

Bnafsi naona sio sahihi ni mbinu tu za adui kutusahaulisha mambo ya msingi.
Acha Uoga Enjoy Life!
 
Kwanza kabisa, define Mungu ni nini halafu thibitisha yupo.

Habari Kiranga ,nilikuwa nauliza tu ,hivi ni kitu gani kilichoumba ulimwengu huu? Binadamu alitokeaje? Ukiachana na hermaphrodite kwanini viumbe vilitokea vya kike na kiume ,nini kilifanya itoke hiyo jinsia? Samahani kama ulishawahi kufafanua basi nipe link niweze kupitia.
 
Maswali yako ni mazuri.

Na majibu yake siwezi kukuambia mimi nayajua yote.Kukuambia hivyo kutakuwa ni kukudanganya.

Hivyo, inabidi tusome zaidi, tugundue mambo zaidi, tupate majibu ya maswali haya zaidi.

Ila, katika kupata majibu, hata kama hujapata jibu sahihi, kuna kitu kinaitwa "elimination method".

Elimination method, ni njia ya kupata jibu sahihi kwa kuyaondoa yale yaliyoonekana wazi kwamba hayana usahihi, na kujielekeza katika majibu yaliyo sahihi.

Mathalani.

Kuna kijana wa miaka 20. Hamjui mama yake. Anamtafuta Mama yake.

Katika kumtafuta kwake mama yake, ataanza kwa kusema, watu wote ambao ni wanaume, walizaliwa wanaume na mpaka leo ni wanaume, wa jinsia ya kiume, hawawezi kuwa mama yangu. Kwa sababu mama yangu ni mwanamke na hawa ni wanaume.

Vivyo hivyo, watu wote, wakiwamo wa kike, niliowazidi umri, yani, ambao wana umri chini ya miaka 20 yangu, hawawezi kuwa mama yangu, kwa sababu nawazidi umri.

Atakwenda mpaka atafika kwenye kunyambulisha zaidi kwenye DNA huko, atampata Mama yake.

Mimi sitaki kutolewa relini kwenye hoja yangu ya Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo na kuanza kujibu swali ambalo sijui jibu lake la kitu gani kimeumba ulimwengu huu.

Ninachoweza kusema tu ni kwamba, kilichoumba ulimwengu huu si Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, ulimwengu huu unam contradict Mungu huyo. The problem of evil contradicts that God.

Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao maovu, magonjwa, wizi, njaa, majanga ya kiasili, vita etc ni vitu vinavyowezekana, ni contradiction.

Mungu huyo ana uwezo mkubwa sana, ujuzi mkubwa sana na upendo mkubwa sana kuumba ulimwengu huu.

Hivyo, chochote kilichoumba ulimwengu huu, si Mungu huyo.
 
Mungu ni nini? Nitathibitishaje Mungu hayupo wakati hata hujadefine Mungu ni nini?

Nikikwambia thibitisha "ajowkqxvhjalkw" haipo, utaweza?
Soma kitabu kinaitwa biblia, au google maneno 'God the Almighty' usitake kutafuniwa kila kitu..
 
Kwanza kabisa, define Mungu ni nini halafu thibitisha yupo.
acha maswali ya kipuuzi ndani ya jukwaa lenye watu Smart Kama Jf.

Unapohoji Difine ya MUNGU Nini halafu uthibitishe Kama yupo huu ni utoto.

Unaweza kujibu maswali Kama haya ukiulizwa

Thibitisha Kama Mungu hayupo Duniani? Jibu ili swali

Unajua maana ya Kutibitisha?
 
Back
Top Bottom