Tuache Kuforce Mambo, Mziki wa Kisingeli hauna Ladha

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,265
Moja kwa moja kwnye Hoja.
Nimejaribu kuufuatilia mziki wa kisingeli na kujiridhisha kua mziki huu unakuzwa kwa ushabiki wa Media na wasaka Tonge , ila ni mziki usio na ladha kamili ya Burudani. Na Umetokea kwa Bahati mbaya.
1.style moja ya kuimba.. ukijaribu kusikiliza waimbaji wote wa kisingeli wanamtiriko mmoja wa maishairi, unaweza kusikiliza Nyimbo tatu kwa muunganiko na ukaambiwa Umesikiliza nyimbo tatu na usikubali,ukidhani ni moja.
2. style moja kucheza..kama ni video zote zinafanana lazima vimbu litimuke, kushika viono na kuinama .. wote the same same stle.

Naonaga ni kelele tu.

USHAURI.

Kisingeli ubaki kua Mziki wa kawaida tu in a free style way huko uswahili ila si kuulazimisha kua mziki official kwnye

Burudani ya mziki TZ.
Ukweli mzuri ila unauma.
 
mbona mziki bomba tu. tekenya tekenya

dancing-emoticon-vector-design-to-music-56549515.jpg
 
Kwaio unataka singeli iwe naradha yaboringo kama jinsi bongoflavour ilivyoharibiwa nakua kama mziki wakinigeria
 
Aaahaha ww shika huku, we shika pale

Twende wote baharia, kamatia chini singeliiii

Huu mzk kwel hauna tofaut vionjo ila unaburudisha kiukweli

Kwa mara ya kwnz nlikuw naona kama wanapga kelel bt nlipozid kufatlia nliona uko sawa

USHAURI: huu mzk ubaki kuwa wa kawaid tu na sio mzk wa Tz ila ni mzk wa part of Tz
 
Huu mzk mzuri sana

Bahati mby kova alipiga marufuku vigodoro usku sabb ya uhuni kushamiri,

Asikuambie mtu singel tamu sana ,kinondoni mosco ilikuwa kama chakula vile..wana msemo wao bora maji yakatike lkn umeme uachwe

Singeli ikipigwa lzm ucheze,style ya uchezaji wa singeli ni mzr na unavutia

Shamra shamra kibao

Nimefurahi sana nyimbo hz zimepata promo ,na zinatambulika kitaifa

Nimemiss sana singeli ase night hata uwe mbishi vp ukisikia unapigwa lzm utahudhurie tu..

Singeli ina mashabiki wengi ,vijana wa kiume wengi ,asilimia 99 wanaupenda huu mzk
 
Moja kwa moja kwnye Hoja.
Nimejaribu kuufuatilia mziki wa kisingeli na kujiridhisha kua mziki huu unakuzwa kwa ushabiki wa Media na wasaka Tonge , ila ni mziki usio na ladha kamili ya Burudani. Na Umetokea kwa Bahati mbaya.
1.style moja ya kuimba.. ukijaribu kusikiliza waimbaji wote wa kisingeli wanamtiriko mmoja wa maishairi, unaweza kusikiliza Nyimbo tatu kwa muunganiko na ukaambiwa Umesikiliza nyimbo tatu na usikubali,ukidhani ni moja.
2. style moja kucheza..kama ni video zote zinafanana lazima vimbu litimuke, kushika viono na kuinama .. wote the same same stle.

Naonaga ni kelele tu.

USHAURI.

Kisingeli ubaki kua Mziki wa kawaida tu in a free style way huko uswahili ila si kuulazimisha kua mziki official kwnye

Burudani ya mziki TZ.
Ukweli mzuri ila unauma.
Wasiopenda vya kwao
 
Huu mzk mzuri sana

Bahati mby kova alipiga marufuku vigodoro usku sabb ya uhuni kushamiri,

Asikuambie mtu singel tamu sana ,kinondoni mosco ilikuwa kama chakula vile..wana msemo wao bora maji yakatike lkn umeme uachwe

Singeli ikipigwa lzm ucheze,style ya uchezaji wa singeli ni mzr na unavutia

Shamra shamra kibao

Nimefurahi sana nyimbo hz zimepata promo ,na zinatambulika kitaifa

Nimemiss sana singeli ase night hata uwe mbishi vp ukisikia unapigwa lzm utahudhurie tu..

Singeli ina mashabiki wengi ,vijana wa kiume wengi ,asilimia 99 wanaupenda huu mzk
Wanaume wa dar hao!!
 
Ukiona hukielewi kitabu ujue hujatungiwa wewe.

Singeli ni mziki wa kweli na ndiyo identity yetu.
Ulikuwa mziki mzuri kwenye version ya mnanda.
Hii kisingeli sijui kisengeli imepoteza mwelekeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom