Tuache Kuforce Mambo, Mziki wa Kisingeli hauna Ladha

Una akiri Butu, kukufumbua ufahamu ni hasara, natumia uwezo mkubwa wa kufikiri, nimekoma!
Nadhani wakiongezwa watanzania wengine wawili wewe utakuwa umebeba ile namba ya kila watanzania wanne mmoja ni chizi.....yule mmoja ndo ww......yaani pale ndo ulitumia akili nyingi?aisee wee utakuwa wale waliofukuzwa kule Dom.
 
Ndugu wa Wasomaji, Hayo ni maoni ya Mmoja Wa panya road akijaribu kuonyesha hisia zake.
Ukishaona mno anakutajia mtaa unaitwa MOSCO..basi weka Mbali na watoto. Huko ndipo nakuchukia haswa ,
1.wanaaharibu Sifa za mitaa kwa uhuni uhuni wanaofanya.
2.mchana wanakaa vijiweni, usiku wanakesha kukwapua na Kucheza Hizo nyimbo zao.. targert hapo ni wakishakwapua wanakimbilia hapoahala wamekusanyika kwa kisngizo cha mziki ..sasa fika pale ujidai unatafuta mwizi ..[emoji1] wanakugeuka mwizi unakua ww.
3. Binadamu wengine hawalalali kabisa , ni Mda singeli inaendelea , ni ngono kwnye kuta za watu , na wanawake kujiuza .. yaani ni karahaa .

Mtu anayeshauri eti ndio tamaduni zetu, namuona mpuuzi tu...tunaentertain ujinga.
Haha ila mosco ni kiboko
Akina Dada kibao imejianika huwaambi kitu kwenye vigodoro

Mchana watu kibao wanakaa maskani ,usku ikifika ni mwendo wa singeli

Huko utakuta kila aina ya takataka mtoto wa miaka 15 ameshika kiroba mkono wa kushoto,mkono wa kulia ana piece ya bangi halafu kiunoni ana panga ,.ukihudhuria singeli uwe mpole na kama upo mwenyewe uwe attention

Mosco kumeoza ase akina Dada hawana aibu ,.sijui muda gani wanalala wale full uhuni,usela,umalaya,.vigodoro kwao kama chai

Panya road kibao ,ukitaka kuona kama watu wamevurugwa hudhuria singeli

Ila kiuhalisia tukiacha yote singeli tamu ,ina ladha [emoji3] [emoji3] ,nimepa Miss sana mosco ..long live kisingeli

Ushauri;kama ww mstaarabu kaa mbali na moscow ,watt wako wataharibika
 
Kwakweli nisiwe mnafiki tu , kabla ya kushauri Uboreshwa , naomba ufutwe kabisa na Kitengo cha Utamaduni na saana kijikite Upya kusaka mziki halisi wa bongo kama kweli tunaujitaji ... but kisingeli BiG NO .... tunaipigia Dunia Kelele .
hahahaa
 
Niliwahi kupita Mitaa hiyo usiku Maksudi kwenda Kufanya Research huwa napenda saana kushuhudia hivi vitu .. ! Nilichokifanya Nilivuruga kwanza Nywele ... nikatafuta na shary moja Chafu chafu saana !nikatoa saa, cheni na Smart phone nikaaviacha ..nikatafuta Nokia ya tochi nikaitoa Mfuniko wa Nyuma . Kisha majira ya Saa 10:00 usiku nikatoka Taratibu na Mguu ..nilianza na mtaa Mmoja unaitwa Brazili .. [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwa bahati nzuri nikakuta Kuna nyumba ina harusi , kwa wao wanaita "shughuli" aisee .. kina dada hawana nguo za ndani ni kumwagiana maji na Kururuka kama chura .
Nikashangaa kisha nikapanda Pikipiki kwnda Mosco.
Huku nilichoka .. kwanza watoto wakike wa huku ni wadogo from 12 years ..wanauhuni wa kila aina , kuna Getho moja lilikua ni dogo ila watu waliokua wanaingia Humo,duuuh .. kwanza wanaingia wanaweke Kumi na wanaume wawili , sasa sijui ni nn kinaendelea .
Aisee kuna uchafu wa kila aina ..hizo style za Nywele sasa [emoji1] [emoji2] Piki piki inapanda watu Wanne mpaka watano.
 
Hapa una hoja ..Msaga sumuu Kidogo unakuta anaimba flani hivi ... Hata Kolabo anaweza akapata ...huyu angekomaa angetutafutia Test halisi ya Mziki wake ...ila wale jamaa wengine Aisee kwakweli Hapana....tunajaribu tu Kuboost mambo magumu Ila Kiuhalisia Mziki ule hauna Furaha.
Kwanza waimbaji wenyewe Wamegoma Kabisa kutakata[emoji4][emoji4][emoji4]
Napenda mdundo (Beat) ya wimbo unaitwa "Mida ya Kubeti"

Kaka ...
 
Unaposema wa mikoani, Pwani ni mbinguni siyo ndani ya mkoa fulani? Huo Ubwege huo

Ukishasema mziki wa pwani huoni kama hujapingana na sisi tunaoupinga bali unatuunga mkono?
Au uelewa wako ni 0
Ss tumesema huo ni mziki wa kikabila wanaulazimisha uwe wa kitaifa kitu kisichowezekana!
unakumbuka hii kitu 4:1, naamini wewe ndo uyo mmoja coz nmeelezea vizur tu hapo juu, kama unaupinga huo mziki bas tunga wa kwako,sababu waafrika SISI ni watu wa ajabu, yan upinga jibu sio A alaf huna alternative ya jibu,shame on you, mrugaruga wewe
 
Niliwahi kupita Mitaa hiyo usiku Maksudi kwenda Kufanya Research huwa napenda saana kushuhudia hivi vitu .. ! Nilichokifanya Nilivuruga kwanza Nywele ... nikatafuta na shary moja Chafu chafu saana !nikatoa saa, cheni na Smart phone nikaaviacha ..nikatafuta Nokia ya tochi nikaitoa Mfuniko wa Nyuma . Kisha majira ya Saa 10:00 usiku nikatoka Taratibu na Mguu ..nilianza na mtaa Mmoja unaitwa Brazili .. [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwa bahati nzuri nikakuta Kuna nyumba ina harusi , kwa wao wanaita "shughuli" aisee .. kina dada hawana nguo za ndani ni kumwagiana maji na Kururuka kama chura .
Nikashangaa kisha nikapanda Pikipiki kwnda Mosco.
Huku nilichoka .. kwanza watoto wakike wa huku ni wadogo from 12 years ..wanauhuni wa kila aina , kuna Getho moja lilikua ni dogo ila watu waliokua wanaingia Humo,duuuh .. kwanza wanaingia wanaweke Kumi na wanaume wawili , sasa sijui ni nn kinaendelea .
Aisee kuna uchafu wa kila aina ..hizo style za Nywele sasa [emoji1] [emoji2] Piki piki inapanda watu Wanne mpaka watano.
Haha Moscow kila siku kuna shughuli yani huwezi kukosa

Brazili nakupata fresh ase ,mademu wa huku ni noma ase wengi hizo ndio tabia zote kila aina ya ujinga wanafanya ,mabinti wadogo vina vuta bangi ,vina kaa maskani na wahuni,binti mdogo lkn humwambii kitu ujinga wote anaujua ..huku mosscow kuanzia akina mama,Dada,vitoto wamevurugwa tabia moja

Usiku ukitembea ase vitu vyako Acha nyumbani ,mitoto kibao wanatembea makundi ,kama ulitembea na chafu uzuri chafu wanajuana kama ulivurugua nywele,ukivaa bagarashia au pama na miendoko yao inajulikana ..ukiwa bishoo ah mbona utaisoma namba

Wasichana,mama wamepoteza dira huku ..kila wanakesha na midude ,na huko wanamwaga radhi ile mby ..Moscow Russia hakunaga ase

Huo co mziki ni makelele tu kila mtu anaweza kuuimba ili mradi uwe na pumzi tu kwa kifupi na makelele yaliyotengenezewa mdundo
 
Kwakweli nisiwe mnafiki tu , kabla ya kushauri Uboreshwa , naomba ufutwe kabisa na Kitengo cha Utamaduni na saana kijikite Upya kusaka mziki halisi wa bongo kama kweli tunaujitaji ... but kisingeli BiG NO .... tunaipigia Dunia Kelele .
Mdau umenichekesha hapo pa tunaipigia dunia kelele. Ni kweli aisee.
 
Haha Moscow kila siku kuna shughuli yani huwezi kukosa

Brazili nakupata fresh ase ,mademu wa huku ni noma ase wengi hizo ndio tabia zote kila aina ya ujinga wanafanya ,mabinti wadogo vina vuta bangi ,vina kaa maskani na wahuni,binti mdogo lkn humwambii kitu ujinga wote anaujua ..huku mosscow kuanzia akina mama,Dada,vitoto wamevurugwa tabia moja

Usiku ukitembea ase vitu vyako Acha nyumbani ,mitoto kibao wanatembea makundi ,kama ulitembea na chafu uzuri chafu wanajuana kama ulivurugua nywele,ukivaa bagarashia au pama na miendoko yao inajulikana ..ukiwa bishoo ah mbona utaisoma namba

Wasichana,mama wamepoteza dira huku ..kila wanakesha na midude ,na huko wanamwaga radhi ile mby ..Moscow Russia hakunaga ase
Naomba direction ya huo mtaa nikafanye research, nipo kino B hapa
 
Hapo hakuna mziki wadau. Binafsi kuna ule wimbo wa Mbagala ameuimba Skide niliupenda angalau maneno yanasikika na anaeleweka anachoimba na pia wimbo unakufanya ucheke. Lakini hakuna mziki hapo ni makelele matupu na visauti kama panya.
 
Hiyo moscow ndiyo uswahilini ya Kinondoni hakufai ndugu. Huko ni hatare. Na 'foreigner' wanakujua tu. Watu wa huko wamevurugwa.
Usihofu mkuu, nipo makini
 
Moja kwa moja kwnye Hoja.
Nimejaribu kuufuatilia mziki wa kisingeli na kujiridhisha kua mziki huu unakuzwa kwa ushabiki wa Media na wasaka Tonge , ila ni mziki usio na ladha kamili ya Burudani. Na Umetokea kwa Bahati mbaya.
1.style moja ya kuimba.. ukijaribu kusikiliza waimbaji wote wa kisingeli wanamtiriko mmoja wa maishairi, unaweza kusikiliza Nyimbo tatu kwa muunganiko na ukaambiwa Umesikiliza nyimbo tatu na usikubali,ukidhani ni moja.
2. style moja kucheza..kama ni video zote zinafanana lazima vimbu litimuke, kushika viono na kuinama .. wote the same same stle.

Naonaga ni kelele tu.

USHAURI.

Kisingeli ubaki kua Mziki wa kawaida tu in a free style way huko uswahili ila si kuulazimisha kua mziki official kwnye

Burudani ya mziki TZ.
Ukweli mzuri ila unauma. [emoji122]
Umenena!
ila Ukweli ni kwamba watu wameshindwa kuu-categorise huu mziki i.e Bongo flava ama Tradition Music. Kisingeli ni Traditional music kwa maana kwamba muziki huu umebana kwa upande wa wenzetu wa pwani na maeneo Landana mfano Dar na Tanga ambapo Kabila la Wazaramo Ndilo lenye nguvu kubwa ya Umiliki wa muziki huu.

Kisingeli hakina tofauti na Baikoko ama mdumange kwa minaajili ya maudhui ila Hapa ni kwamba Kisingeli kimepata BAHATI narudia tena Kimepata BAHATI yakufanyiwa Promo na Baadhi ya Vikundi vya watu maarufu na Media Kubwa hapa Bongo(Bila Kuficha Clouds Media Group).
 
Hakika Mkuu , hata mm nilijikuta naidhulumu nafsi.
Ukitaka kujua ule si mziki, chua Headphone/earphone weka Masikioni Kisha washa singeli..unaweza geuka kichaaa .
Hahahaaa....Wala sio uongo!
Hivi zile kelele-kelele za "babaaa....Washa motoooo....nk," Unaanzaje kuziimba wakati pembeni kuna Mtoto mzuri-Kwa mfano?!
Si atakuona nawe ni Panya Road tu!.....Aaaagh! wala siimbi!
Si bora niimbe "Mboga 7??!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom