Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
- Thread starter
- #41
Hapa una hoja ..Msaga sumuu Kidogo unakuta anaimba flani hivi ... Hata Kolabo anaweza akapata ...huyu angekomaa angetutafutia Test halisi ya Mziki wake ...ila wale jamaa wengine Aisee kwakweli Hapana....tunajaribu tu Kuboost mambo magumu Ila Kiuhalisia Mziki ule hauna Furaha.Napenda sana ile radha ya msaga sumu!
ingawa huwa wanasema sio singeli.....ila jamaa anakaubunifu flani kwenye mziki wake
Kwanza waimbaji wenyewe Wamegoma Kabisa kutakata[emoji4][emoji4][emoji4]