TTCL na huduma za internet mbovu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TTCL na huduma za internet mbovu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Somi, Sep 22, 2009.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nasikitika kwamba mpaka sasa tulivyoambiwa Tanzania imejiunga na mtandao wa Fibre Optic kwa ajili ya mawasiliano ya kimataifa ya internet n.k bado huduma ya kampuni ya TTCL ni duni sana.

  Mtandao wao unakorofisha mara kwa mara na ukiwapigia simu hawapokei simu au wakipokea hawashugulikii tatizo, sasa sijui waliopewa hiyo kazi hawajui au hawana nia ya kutoa huduma kwa wateja?

  Kwanini hata gharama hazipungui tunabaki kutoa hela nyingi kwa huduma mbovu?

  Kwanini sisi Tanzania tupo nyuma kila kitu? Nchi za majirani yetu wanazidi kupiga hatua ktk technolojia? Au watu wapo kupokea mishahara ya bure mwisho wa mwezi na hawafanyi kazi yoyote kazi kupiga porojo makazini na utoro!
   
 2. S

  Somi JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa nyongeza kampuni zote za internet service provider hapa tanzania ni wasiwasi hakuna hata moja yenye mfano wa kuigwa.

  Bado sijachunguza zain au zantel, kwa kumaanisha gharama zao na speed ya mtandao wao na uimara wa mtandao wao
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  nimefurahi maana umeuliza na kujijibu mwenyewe na ikiwa kazi yenyewe ni serikalini, hakuna controller mkuu
   
 4. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2009
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Naona umetoa shutuma kali kweli. Mimi pia mteja wa Broadband ya TTCL. Binafsi nadhani hao TTCL ni much better kuliko wengine.

  Speed ya internet imeongezeka, hasa nime-notice video streaming (hapa inategemea RAM pia).

  Juu ya servers zao kuwa down, ni kweli. Nimeona mara mbili tatu hivi. Lakini si kiasi cha kukatisha tamaa. Suala kwamba hawapokeai simu sina hakika nalo kwani ukipiga 100, unaunganishwa baada ya muda(kama line iko wazi).

  Kuhusu bei, ni kweli bado ziko juu. Mimi napata 1G kwa kulipia elfu 60 kwa mwezi. Ni ghali mno. Lakini niliongea nao, pale ofisi ndogo iliyoko Ubungo Plaza, wakaniambia mwezi wa 10 watashusha bei.

  NB: Habari za uhakika ni kwamba serikali isipotoa sh bilioni 18 mapema iwezekanavyo, kampuni hii inakufa na kuzikwa.
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Hamia Zantel 3G,au unaonaje?
   
 6. w

  wasp JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  With an exception of the two Pension Fund corporations (i.e. NSSF & PPF)which other Parastatal is performing? Reading "Nipashe" of September 22, 2009, I a shock of my life that BOT is being swindled by almost 45% of its senior staff. NIC is kaput. What else?
   
 7. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aisee! kazi ipo
   
 8. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribisha kupiga 100 omba upande wa enternet elezea tatizo lako. Kama we ni mgeni itakusumbua kidogo usikute pesa imeisha ulizia na salio.

  Mimi natumia hiyo sijapata tatizo lolote na nispeed internet.
   
 9. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio TTCL peke yao. Simbanet toka wamejiunga na seacom ndio wamezidi kuwa wabovu kuliko mwanzo,mtu una Bandwidh ya 256 kbps, donwload speed unapata 30 kbps/upload 8 kbps,saa nyingine download speed inashuka mpaka 8 kbps.uki wapigia simu wanakuambia mbona wao hawana tatizo wanacho kushauri ni ku-restart modem yako na kuwasha...

  Walituambia wakazi wa Dar watatuongezea Bandwidh mpaka leo hakuna chochote kilicho endelea zaidi ya kula pesa zatu bure maana huduma zao haziendani na malipo tunayo lipa kabisa.
   
 10. M

  Maison Zablon Member

  #10
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kampuni yenyewe nadhani iko Icu au Ufisadi nao unaimaliza
   
 11. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #11
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  TTCL ni wazi wa kubwa hawa,mimi naona ni bora ukafa tu maana hauna faida kwa mwananchi wa kawaida.
   
 12. B101

  B101 Member

  #12
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 30, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We still got a long way to go...
   
 13. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kbps au KB/sec? Inawezekana wewe ndiye unayekosea.
  256 kbps is the same as 32 KB/sec. (1 Byte has got 8 bits)
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Juzi niliwazukia TTCL aisee......maelekezo niliopata kwa yule mama hayaelezeki....kwa kifupi aliniongezea njaa....
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu LazyDog,

  Mwanzo nilifikiri umechemsha. Imebidi nitembelee Wikipedia na kukuta ni kweli na wameandika hivi:
  The unit symbol "KB" is a commonly used abbreviation for "kilobyte" but is often confused with the use of "kb" to mean "kilobit". Mengine sinahaja ya kuyarudia.
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Yo Yo,
  Naona umerudi. Pole na mfungo wa Ramadhani.

  Kama hao akina dada wanakupa njaa, na ukichukulia ndiyo kwanza umemaliza mfungo wa Ramadhani, angali usije ukaharibu mzani wa nyumbani kwa kuleta kitu kiitwacho Yo Yo Effect.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Thnks shem wa mbaaaali......bado nimefunga 6......
   
 18. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ukweli ni kuwa makampuni yote yanayotoa huduma za internet hazina Good Customer Care
  hilo ndio Tatizo.

  Pili au customer care waliopo hawajui kitu.

  Tatu makampuni kama Voda, Zantel na hata TTCL walitakiwa kuwa na customer care wa Data (internet services) lakini kila wakipewa ushauri wanapuuza. Hii ipo hata kwa wateja wa Blackberry Internet ya Voda na Zain.

  Ushauri wangu ni kuwa hawa Ma ISP wangetafuta kampuni ambazo zitakuwa zinafanya customer care services kwa niaba yao na kulipana kamishen vinginevyo hakuna matumaini ya huduma nzuri ya net Tanzania hata kama TTCL watafunga Faiba kila nyumba ya mlala hoi wa Tanganyika.

  Naomba kutoa hoja
   
 19. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kwanini serikali itoe 18 bilioni? Hivi hii Kampuni si inajiendesha kibiashara? Unamaana hii michango yote wanayotoa wananchi haitoshi kujiendesha? Yanajirudia tena ya ATC?
   
 20. Ncha

  Ncha JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Even those two do perform bse they get free money every month! Performance auditing can reveal if they r really perfoming, they can be growing at a negative rate basing on the money the get every month.
   
Loading...