TTCL mmekuja kushindana na nani kwenye biashara?

Line Yangu ya TTCL kwa Sasa iko kabatini inacheza tu na kina kaka mende baada ya kutoridhishwa na huduma zutolewazo na TTCL.

TTCL, huduma yao ya SMS, haifiki hata herufi 160.

Yaani SMS moja INA herufi chache sana kiasi kwamba huwezi kutuma ujumbe unaozidi herufi 160.

Hii ni kwamba TTCL ni bado iko kwenye zama zile za telegram ya maneno yasiyozidi kumi.

Poor connection, network yao ni kimeo kinoma. Inakatikakatika bila sababu na wakati mwingine inakata kabisaaa.

Ukiwa na line ya Tigo, au Voda au Airtel utajuta kujiunga na TTCL.

Nawauliza TTCL, kwa huduma zenu za hovyo hivi mtashindana na nani?
Refa anawabeba
 
Mkuu ww ndo unaandikaga zile msg za 'Ile ela nitumie huku nini'. Maana ulimwengu wa sasa hivi watuma text wachache sana
 
Line Yangu ya TTCL kwa Sasa iko kabatini inacheza tu na kina kaka mende baada ya kutoridhishwa na huduma zutolewazo na TTCL.

TTCL, huduma yao ya SMS, haifiki hata herufi 160.

Yaani SMS moja INA herufi chache sana kiasi kwamba huwezi kutuma ujumbe unaozidi herufi 160.

Hii ni kwamba TTCL ni bado iko kwenye zama zile za telegram ya maneno yasiyozidi kumi.

Poor connection, network yao ni kimeo kinoma. Inakatikakatika bila sababu na wakati mwingine inakata kabisaaa.

Ukiwa na line ya Tigo, au Voda au Airtel utajuta kujiunga na TTCL.

Nawauliza TTCL, kwa huduma zenu za hovyo hivi mtashindana na nani?
hawakawii kusema umetumwa....maana kwa Tanzania ya sasa kukosoa imegeuka jinai.
 
Line sijui hata iko wapi?! Unsatisfactory services...
Line Yangu ya TTCL kwa Sasa iko kabatini inacheza tu na kina kaka mende baada ya kutoridhishwa na huduma zutolewazo na TTCL.

TTCL, huduma yao ya SMS, haifiki hata herufi 160.

Yaani SMS moja INA herufi chache sana kiasi kwamba huwezi kutuma ujumbe unaozidi herufi 160.

Hii ni kwamba TTCL ni bado iko kwenye zama zile za telegram ya maneno yasiyozidi kumi.

Poor connection, network yao ni kimeo kinoma. Inakatikakatika bila sababu na wakati mwingine inakata kabisaaa.

Ukiwa na line ya Tigo, au Voda au Airtel utajuta kujiunga na TTCL.

Nawauliza TTCL, kwa huduma zenu za hovyo hivi mtashindana na nani?
 
wapo kwenye utafiti wa 7G na nyumbani kuna limbwata.
kitu kinacho endeshwa na serikali mimi na kifananisha na kauli yao "serikali haifanyi biashara"

TTCL limbwata, kule benki ya posta wafanyakazi wanateswa na makafara.
Serikali ime adopt mbinu za wakinga kufanya biashara
 
Ttcl kwangu mm ndo the best.
Internet yao ni fast kinoma
Bundle la kutosha kwa pesa ndogo
Hawaibi mb kama wenzao voda na tigo.
Tafta line ya chuo afu ue unaishi town utaenjoy sana.
Big up TTCL
 
Tuache ufala.
Mbona Halotel walipokuja kuanza biashara walikuja kikamilifu?
Tuliwapa muda gani wa wao kujidhatiti?
Poor planning ni Mwanzo wa great fall, hata tukiwapa karne nzima.
Ilikuwaje TTCL Mobile ikafa? Au umeusahau TTCL Mobile?
Mkuu umeongea point kubwa sana.
Hakuna muda ambao mteja atasubiri ujipange.
1. Starting for wrong reason influence quiting for wrong reason.
2. What you dont remember will be not remembered
 
We si uliona wametoa gawio wakati hata kujiendesha hawawezi.wametoa alafu wakaomba.Sasa kampuni ya namna hiyo unategemea ni kikubwa toka kwao.Labda miaka 50 ijayo ila sio sasa.
 
Ttcl niliitafuta ya kawaida nikaidaka ya chuo... Network bora ATA ya line zote... Halotel ndio baba lao.. rudi nyumbani kumenoga
 
Back
Top Bottom