TTCL Internet, siamini kilichonitokea leo!

TTCL Internet, siamini kilichonitokea leo!

Ttcl nitajiungaa za jero ila sio za week maana nikijiungaa tu huwa bando halimalizi siku
Nilikuwa na mtindo huo mkuu kwa maana ya laptop nilikuwa najiunga kwa wiki na mobile nilikuwa najiunga kwa siku. Kwa mtindo huu umenikumbusha nirejee mtindo huo wa kujiunga kwa siku. Aksante mkuu.
 
Halotel ndo no 1 kwa internet hadi vichochoroni ni 3G acheni kuteseka na hao wazee wengine , kijana Halotel ana kifurushi cha eltfu 1 tu unapata Gb 1.024, dakika 100 za halotel kwenda halotel na sms 500 vyote kwa siku 7

Yah halotel wako vizuri sana
 
Mbona mbahangaika sana, wakati halotel unapata GB1&dk100(halotel-halotel) wiki nzima kwa buku1.
 
Halotel waliwahi nifanyia huu mchezo nikawapigia simu, kilichofuata walikijua wenyewe nikajaribu kununua tena baada ya kuwatolea povu mbona mpaka sasa Mb's zipo za kumwaga na leo ni siku ya 5. Wakati siku ile niliingia mtandaoni WhatsApp ghafla wakanitumia zimebakia 1.6mb nikawatolea uvivu....
 
Halotel waliwahi nifanyia huu mchezo nikawapigia simu, kilichofuata walikijua wenyewe nikajaribu kununua tena baada ya kuwatolea povu mbona mpaka sasa Mb's zipo za kumwaga na leo ni siku ya 5. Wakati siku ile niliingia mtandaoni WhatsApp ghafla wakanitumia zimebakia 1.6mb nikawatolea uvivu....
Kwani hawa wanatoa gawio srikalini? Sijawasikia!!!!!!
 
Hakuna mtandao utakaokuta speed ya halotel kwenye intanet.
 
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".

Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.

Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!

Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!

Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
Wee ni ndezi Acha wakupige tuu, unatumiaje mtandao wa kilofa huo??
 
Hiii ndo tofauti ya ttcl na airtell.

Ttcl oyeeeeee.
IMG_20190528_230814.jpeg
 
TTCL ndio nini kwa anayeelewa atufahamishe wengine
 
Back
Top Bottom