hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,031
- 10,090
kuna factor nyingi za kumaliza MB zako kwneye simu na mostly huwa ni backgroud aplications pamoja na updates
huwa unazizima pia kuna zile auto download nazo ni shida na kama una magroup mwngi watu wanatuma video na picha nyingi na kama zote zinashuka auto basi MB haziwezi kukaa
Sio Kwa igb tena kwa internet ya ttcl ambayo hata ukiwa kwenye jengo lao inasoma 2g au roaming