TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Dili na mtu wa survey, ukifika Customer care omba Contact ya mtu wa anaefanya survey, atakupa majibu mazuri zaidi lini wanapita mitaa yenu. Wengi ambao wapo ofisini si technical
Mkuu hilo shirika ni kama linahujumiwa, kwenye matangazo wako vizuri kwenye uhalisia ni -ve
 
Tulishalizungumzia humu, unless kuna ruzuku zinatolewa ngumu kwa hawa jamaa ku expand uswazi na maeneo mengine ambayo hayana potential customer wengi. TTCL pekee ndio ana Ubavu huo sababu ina Sugar Daddy.

Potential ninayoiona mimi ni kwenye Wifi, ukipata eneo ambalo lipo juu kidogo unaweza Supply wifi mitaa kadhaa, ikawa fiber inAtumika tu kama backbone ila wifi ndio ina supply Majumbani.
Kumbuka omba kibali cha TCRA
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

No installation cost

For more information
Please check me 0744355811
 
Mwenye ufahamu zaidi na uzoefu wa hawa Gofiber katika huduma zao tafadhali naomba anipe uzoefu naoView attachment 2261308
IMG-20220615-WA0014.jpg
 
Mwenye ufahamu zaidi na uzoefu wa hawa Gofiber katika huduma zao tafadhali naomba anipe uzoefu naoView attachment 2261308View attachment 2261309
Hawa walikuwepo kabla ya Zuku mjini, ukiwapigia miezi wanaskilizia, walikuwa na setup fee pia japo sometime wana offer setup inakuwa bure.

Alivyokuja zuku akawatoa sokoni.

Kwa muono wangu go for zuku kama eneo lako wapo, otherwise kama hawapo Gofiber pia si mbaya, fiber Tanzania bado zipo under capacity utapata speed nzuri kwa Fiber yoyote ile.
 
SHORT STORY: Nipo Mbeya karibu sita sasa, kutokana na eneo nililokuwa nimefikia kulikuwa nje kidogo ya mjini ko sikuweza kuwa na optin nyingine zaidi ya 3000 kwa siku kupitia mitandao afu hakuna kupakua mafile nikajitahid mwezi huu nikahamia sehemu nyingine ambayo ipo katikati ya jiji nikagundua nguzo za TTCL zimepita nikafanya upelelezi zilikuwa zinanichanganya maana naona nyaya za fiber na copper zimekatwa katwa, leo ikanilazimu kwenda ofisi zao nkahoji ndo nkaambiwa wanataka kuachana na cooper kabisa sehem chache sana wamebakiza coz zinaibiwa sana afu pia sababu ya teknolojia imechange wameamua kwenda na fiber wametandaza sana kote kulikokuwa na copper wire wamechomoa wameweka fiber ila tatizo kwasasa hapa mbeya wameanza na wateja wa premium tu nikiwa na maana wa 100mbps kwa laki mbili kwa mwezi, ila FTH (FIBER TO HOME) kwanzia kile kifurushi ya 55 cha 10mbps wataanza kuanzia mwezi wa saba ndo nasubiri wakianza maana premium parefu.

MORAL OF STORY: Wakuu wamewahi ongelea hili swala akiwemo chief mkwawa kuwa ni TTCL pekee mwenye jeuri yakutandaza fiber mpaka uswahilini na sasa nimeamini hilo maana katandaza sana wata tukomboa wengi.
 
Mkuu copper cables ita exists kwa miaka mingi mbeleni kwa natural ya matumizi ya nchi yetu.kwa nini nasema hili kuna technology zinafahamika kama PSTN (analog lines) na E1 line (digital lines) hizi ni technology zote zinauwezo wa kutoa voice & data hila kwa upande wa data watu na makampuni wamesha acha wengi wao na kwenda kwenye fiber changamoto zipo katika voice uwekezaji unaotakiwa watumiaji mugalamia kupata mbadala wa PSTN na E1 una galama kiasi kulinganisha na matumizi ya copper cable na ata bill shilika linakusanya ela nyingi tokana na copper upande wa voice kulinganisha na uduma zinginezo kama SIP technology,japo maintaining ya copper ina ugumu wake kwa mtoa huduma ila navyoona mimi wataitumia sana mpaka miaka 20 mpaka 50 labla ndo wataacha

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom