Wat hawapo ukoNiliwauliza Zuku wamesema hawapo mbezi beach.
Apo Ata Voda baba Yao badoHao Zuku fiber hawajafika mbezi huku kibanda cha mkaa
Funga satSijui lini watafikisha mbezi ya kimara hizo Fiber!
Wapo hadi Mbezi Makonde, Mbezi Beach yotw iko coveredNiliwauliza Zuku wamesema hawapo mbezi beach.
Yani wapo Mbezi halafu hapa Ilala hawapo,hawa Zuku wanafeliWapo hadi Mbezi Makonde, Mbezi Beach yotw iko covered
Bora afunge Supakasi kuliko SATFunga sat
Kwel kabisa sat ikicheza tu no net ad waje walekebisheBora afunge Supakasi kuliko SAT
Hawa jamaa uchawi ni customer care tu. Walichotifanyaga kipindi tunahitaji connectivity toka kwao tulijuta aiseeWatch out TTCL ndani ya miezi miwili hii wanasambaza Fiber kwa kasi ya Ajabu, mpaka mikoani, jamaa wakiwa serious wataliteka hili soko muda si mrefu.
Hio hio 55,000Lkn bei ni Ile 55000/= ama inapanda
Apo unyama sana aiseeHio hio 55,000
Jamaa wanaringa balaa. Surveyor mpaka aje ni miezi. Ukienda ofisini kwao majibu ya kiwaki hayaeleweki kabisa.Waliwafanyia nn mkuu
mzigo unatembea 10MB per second?? yaani ni equivalent ya 80mbps speed duuh hii package gani mkuu na kampuni gani?
Tatizo lao ni huduma mbovuWatch out TTCL ndani ya miezi miwili hii wanasambaza Fiber kwa kasi ya Ajabu, mpaka mikoani, jamaa wakiwa serious wataliteka hili soko muda si mrefu.