Ukijiunga na bando la bandika bandua unapewa GB 4 ambazo utazitumia kwa mchanganuo ufuataoMimi huwa si mteja wa TTCL, ila kuna location fulani fulani huwa nikienda natumia mtandao wao.
Leo kuna kifurushi cha internet cha bandika bandua saa 24 (@TSH. 1000/=) kiliandikwa GB 4.. Sasa nashangaa nimejiunga nikawasha data, nikadownload "Dream League Soccer 2020" (MB 316) nkapat ujumbe et nimebakiwa na MB 50. Je, hii maana yake nini?
Toboa pekee ndio kimebaki vilevileHahaha yani sikuamini macho yangu juzi
Ila vingine vimebaki vile vile kama toboa night pack
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani mmiliki wa TitisieloMkongo ni mali ya serikali, ttcl ni msimamizi tu
Acha kupotosha wewe ......mbona vifurushi vipo vile vile .....Ttcl Leo rasmi nimemwaga manyanga Nyumbani kumenichosha, Hii ni baada ya Ttcl kufuta vifurushi vyote vya 500 na 1000, na kupandisha bei ya 500 kwa kila Aina ya kifurushi chake.
Nimefanya tadhimini fupi na kugundua kuwa kutumia ttcl hakuna tofwauti na kutumia Tigo, Airtel nk.. Mf,
Tigo 3000=3Gb per week
Ttcl 3000=3Gb per week
Sasa nyumbani kumenoga kwa kipi...??? Netmbovu, customer care mbovu, vocha tabu then mnajiringanisha value na Tigo, voda, airtel n.k...
Mm ni mteja wa ttcl toka 2015 kipindi hicho kulikuwa kupiga ttcl to ttcl bure, Nimeona transition za ttcl karibu zote..
Mm nimoja ya watu waliwapigia kelele mjenge mnara wa kueleweka Dodoma nakumbuka mpaka mkasema nikusanye number nyingi za simu hili mtengeneze report na nilifanya hivyo nilikusanya about 20 phone number...
Leo nimejaribu kungalia msg za miahamala nilizofanya toka mwaka juzi duuh nikashtuka sana kwa kweli mumempoteza mteja potential..
Leo ttcl inafuta vifurushi vya bei ya wanyonge na kuweka vifurushi vya bei ya kwanzia alfu 5000=juu,
Tadhimini nyingine fupi niliyofanya nimegundua kuwa yawezekana kabisa Ttcl hikawa inahujumiwa na mitandao mingine (private company) kwa maana kwamba wanatumia nguvu ya rushwa kufanya ttcl huwe mtandao mbovu wa ghari ya juu mpaka mteja aone akuna tofauti kati ya mtandao wa serkali na mashirika binafsi hivyo ushindani kati ttcl na mitando mingine unakuwa ziro. Hembu tujiulize sote Ttcl ndio yenye mkongo wa taifa kwanini vifurushi vyake viwe bei juu sawasawa na company nyingine ambazo wamekodi mitambo kutoka ttcl. [emoji848]
Wakikujibu nitagHivi hawa ttcl hasa huyo mkuu wao wa masomo anasoma yanayoandikwa hapa mbona hawajibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani kumerogwa wallah panaitaji maombiAcha zako, Nyumbani kuzuri sana, kunavifurushi vizuri
Hivi vocha za TTCL wanatengeneza na madini gani?
Mbona kuzipata imekuwa taabu sana, yaani vocha kupatikana mtaani ni habari ya kushangaza.
Nyie TTCL kama kampuni mama ya mawasiliano nchini mnataka kufanya biashara au huduma? Nauliza kwa sababu hamuonekani katika biashara na katika huduma pia hampo.
Huduma zenu TTCL zinapatikana katikati ya miji kwa kiwango kizuri kidogo vipi huku mashambani au mtandao wenu ni kwa ajili ya watu wa mjini sisi wa mashambani tuendelee kutumia Buzz.
Kwanini TTCL msijitokeze nje ya ofisi mjitangaze watu wawajue nini mnafanya, naona kama mmejifungia ndani na promotion zikifanyika mitandaoni tu.
Ni mara chache sana mashirika ya umma kutoa huduma zenye kukidhi vigezo vya watumiaji kutokana na kubweteka ila najua mngekuwa na mikakati mizuri basi kila mtaa ungekuwa unaimba TTCL katika mtazamo chanya ila kelele za sasa ni malalamiko ya huduma, hii inadhihirisha kuwa bado hamna mikakati kabambe ya kuteka sekta ya mawasiliano nchini huwenda tuwape miaka mingi.
Ww ndio umeona napotosha kwasababu mtandao huu umeaza kutumia juzi ujui tulipotoka na tulipo unachokiona hapo sicho kilichokuwepo kablaAcha kupotosha wewe ......mbona vifurushi vipo vile vile .....
*148*30#
Mbona tunapata vizuri tuu.....View attachment 1404240View attachment 1404241
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu 2020 hatutafanya makosa.Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Akikujibu niTAGWw ndio umeona napotosha kwasababu mtandao huu umeaza kutumia juzi ujui tulipotoka na tulipo unachokiona hapo sicho kilichokuwepo kabla, Mm nalalamika kuhusu mabadiliko yasiyo na tija yasiyo shawishi mteja wazamani kuendelea kufurahia huduma mpya... Hivyo vifurushi ulivyoscreen shot je ni vya ushindani? Je vinaweza kunishawishi niache kutumia tigo,\airtel yangu niamihe Ttcl? Embu jibu kama mzalendo
Umesema hakuna kifurushi cha 500tsh ....sasa hiyo zamani na airtel au tigo ilikuwa bei gani sasa na hivi ....yaani still ttcl iko pouwa .....Ww ndio umeona napotosha kwasababu mtandao huu umeaza kutumia juzi ujui tulipotoka na tulipo unachokiona hapo sicho kilichokuwepo kabla, Mm nalalamika kuhusu mabadiliko yasiyo na tija yasiyo shawishi mteja wazamani kuendelea kufurahia huduma mpya... Hivyo vifurushi ulivyoscreen shot je ni vya ushindani? Je vinaweza kunishawishi niache kutumia tigo,\airtel yangu niamihe Ttcl? Embu jibu kama mzalendo
Umesema hakuna kifurushi cha 500tsh ....sasa hiyo zamani na airtel au tigo ilikuwa bei gani sasa na hivi ....yaani still ttcl iko pouwa .....
Ukirudi na Fiber pia namtumia unlimited plus 50 mins talk time mitandao yote sasa wewe utaniconvice mimi vipi nihame ....View attachment 1404271
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisubiri umalize alafu nije na screenshots zangu, Zitakazo onyesha tulipotoka na tulipo Pia na washindani wetu walipo tuone Ttcl wanakipi kipyaBenhorta ,Nimefanya tadhimini fupi na kugundua kuwa kutumia ttcl hakuna tofwauti na kutumia Tigo, Airtel nk.. Mf,
Tigo 3000=3Gb per week
Ttcl 3000=3Gb per week
Bado umedanganya pia .....
On a screenshot ya kifurushi cha week chagua weweView attachment 1404285
Sent using Jamii Forums mobile app