Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,678
SeenNipo Dodoma...TTCL haina usikivu kabisa kabisa...ukimpigia mtu simu kuelewana ni ngumu ngumu sana...ofisini wenzangu wengi Walinunua line zenu kwaajili ya vifurushi vizuri vya sauti.
Lakini sasa ukipiga huelewani na unaempigia kabisa..lazima upige ukate kwanza urudie urudie lakini usikivu wa sauti kwa kampuni yenu ni shida kubwa kubwa kubwa.
Wengi ofisini kwetu wameziondoa line kila mtu alalamikia usikivu..
Mtu umenunua dkk 750 halafu husikilizani na Unayeongea naye mpaka unalazimika kununua kifurushi cha mtandao mwingine upige ndio mnasikilizana vizuri tuu.
Internet sio reliable kabisa..kuna siku na muda inakata kabisa...hakuna Internet.ikirudi haitabiriki mara ipande mara ishuke kabisa.
Mkiboresha hasa usikivu mtafika mbali sana.
Nadhani anamaanisha HalotelViatel ndio mtandao gani mkuu?
Seenkuna wakati sipatikani nikiwa dodoma mjini lakini ishara ya mnara kwenye simu inasoma ipo full
pia internet kwa kutumia modem...niki conect nikatumia internet mara ninapodis-conect..nakuwa siwezi tena ku conect kwa mara nyingine ili nitumie internet hadi siku inayofuata. Nakereka sana na hili dodoma
SeenHuduma ndi nzuri kiasi.
Changamoto kwa upande wangu ni 1. Nikipiga simu kwa mtu mfano namba 0768........ Tukaongea naye vizuri tu, kasheshe ni kipiga namba hiyohiyo kwa kutumia call list utakuta imeondolewa 0 kwa hiyo utaikuta 768...... Sasa kama hujaangalia vizuri utakuta unapiga vivyo hivyo. Unakutana na namba unayopiga haipo. Kumbe sifuri imeondolewa.
2 sms kwenda mitandao mingine zina sumbua hasa sms ndefu
3 internet ipo chini sana kwa eneo la Tunduma
Nami nasubiria jibu hapa.Nilisikia kwamba kila mnara wa viatell ulipo nanyi mpo lakini mbona vijijini network hamna. Ila viatell network ipo
Kitambulisho cha chuo bado unacho?Mimi nina laini yangu ambayo hapo awali nilikuwa nikijiunga kifurushi cha chuo bila shida yeyote,Tatizo lilianza nilipoibadirisha laini yangu kuwa spesho namba siipati tena huduma hiyo,tafadhali nisaidieni
Punguza jazba basiLimtandao la hovyo customer care weekend simu hazipokelewi.
Nilivunja laini siku hiyo hiyo