Acha dharau mkuuSawa tumewasikia, tutajitahidi kufanyia kazi hayo malalamiko yenu.
Mkiona tunachelewa tafuteni mitandao mingine muhame, msituchoshe.
Acha dharau mkuu
Usiwaze kila kitu kitakaa sawa.mkuu uliyeleta thread anza kutumia line yenu then utapata feedback mi nna mwezi wa nne sasa nimeachana na line ya ttcl nimeludi airtel manake ttcl ni kujipa stress tu line yenu ni takataka
Asante kwa ushauri wako.Habari kiukweli mwenzenu napata changamoto kubwa sana kwenye upande wa TTCL pesa kila wiki mnakuwa na tatizo la kununua vifurushi kupitia TTCL pesa maana unakuta muda mwengine vinagoma kabisa yaani... inafikia hatua hadi namba ya siri mnaifunga na kusema ni batili imekuwa ikinipa shida sana hilo tatizo hasa... ina peleka kila baada ya wiki ni wapigie ili nibadilishe tena namba ya siri kiukweli ina boa sana
Kingine kwenye upande wa call center wafanya kazi wenu awako chapu kuongea na wateja unakuta simu unapiga weeeee kwanzia saa moja asubuhi hadi saa mchana simu aipokelewi unachosikia tu kuwa muongea na mtoa uhuduma anauhudumia wateja wengine sasa na shindwa kuelewa ni muda wote huo wako busy sana ... inapelekea hadi mteja kukata tamaa na kuitoa laini ya TTCL kwenye simu...
Ushauri wangu Muongeze watu wa call center na wawe Active muda wote ,,,,
Mimi niko Goba Mpakani
Pole sana bahariaNetwork yenu mwanzo ilikua poua saana saizi naitafuta kwa toch,,3G inakuja kama inarud hivi yaani ni shida,,nipo Itamba mbarali.
Pia nlienda mkwanuni Songwe nilikaa kama wiki hivi sikupata kama mtando wa ttcl yaani hakuna kabisa kwa 24/7.
Vocha zenu pia kuzitafuta ni sawa na kutafuta bikra miaka hii,,hazipo madukan
Nipo Dodoma...TTCL haina usikivu kabisa kabisa...ukimpigia mtu simu kuelewana ni ngumu ngumu sana...ofisini wenzangu wengi Walinunua line zenu kwaajili ya vifurushi vizuri vya sauti.Habari ya jioni,
Ndugu mteja tunaomba utufahamishe changamoto unayoipata pindi umapotumia mtandao wetu wa TTCL.
MUHIMU
1. Kumbuka kutaja eneo ulilopo.
2. Aina ya tatizo.
NB: Kama una mapendekezo ya vifurushi na pia maoni kuhusu huduma zetu unakaribishwa.
Rudi Nyumbani Kumenoga.
1.Upatikanaji wa voucher na services zingine kama T-pesa ni almost non existent in many places..Habari ya jioni,
Ndugu mteja tunaomba utufahamishe changamoto unayoipata pindi umapotumia mtandao wetu wa TTCL.
MUHIMU
1. Kumbuka kutaja eneo ulilopo.
2. Aina ya tatizo.
NB: Kama una mapendekezo ya vifurushi na pia maoni kuhusu huduma zetu unakaribishwa.
Rudi Nyumbani Kumenoga.
Viatel ndio mtandao gani mkuu?Nilisikia kwamba kila mnara wa viatell ulipo nanyi mpo lakini mbona vijijini network hamna. Ila viatell network ipo
HalotelViatel ndio mtandao gani mkuu?