Haha kutoa sadaka🤣🤣🤣🤣Sina uhakika kama utajibu.. Ila yangu ni haya:
1. Meneja Masoko wenu ameshindwa kazi.. Hampo popular.. Yaani kuna siku niluamua hadi kupiga simu kuulizia menu ya T-pesa.
2. Kuna kipindi nilienda Jijini Mbeya kikazi.. Kule ukinunua kifurushi cha internet ya TTCL basi ujue umeamua kutoa sadaka.. Hutatumia hata Mb 1. Ile ni extremely slow.
3. Hamna utaratibu wa kuwachombeza wateja.. Wenzenu wana vi sms au call kukbushia jambo
Kudadadeki zao afadhali wamejiletaBaharia Wa Buza
mzee wa malalamiko dhidi ya TTCL
washapandisha mbona 😆😆Tumerudi ila mkipandisha bei tunawasha kiberiti
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
kwa vifurushi wamezingua sanaNyumbani kumejoga na tumerudi..
Swali langu ni kwanini mmebadirisha bei za vifurushi bila kutupa taarifa sisi wateja wenu.
Pili kwanini ttcl inapatikana katikati ya miji tu..ukitoka kidogo nnje ya mji hupati huduma kama inavyotakiwa hasa upande wa data..
Hongereni kwani upande wa voice mpo vizuri mno
Hawana option ya kufuta labda tuwaite Mods.Mbao Za Mawe said:Futeni uzi wenu muondoke kama hamtaki kujibu maswali, mlijua hapa ni sehemu ya mapambio kwamba mtapambwa kwa mema?
@TTCL Corporation
Acha fujo mjukuu wa bibi nguduFuteni uzi wenu muondoke kama hamtaki kujibu maswali, mlijua humu ni sehemu ya mapambio kwamba mtapambwa kwa mema?
Ukiona vizee ujue ni vichawi sasa jidanganye kuchukua nafasi zao utaumwa ugonjwa wa ngozi ujikune hata ukose raha.Kampuni imeajiri vizee kibao.
Ukiingia mule ndani utadhani upo kilingeni kwa bibi yake mbao z a mawe
Rudi Nyumbani Kumenoga.
[emoji44][emoji44][emoji90]Yaani laini nimeiweka kwenye simu ndogo inasoma TIGO badala ya TTCL
Hukosoma vizuri, bandika bandua kama ni 4GB huwa wanatenganisha, usiku labda 3 na mchana 1. Uwe unasoma kwanza na kuelewa menu.Mimi huwa si mteja wa TTCL, ila kuna location fulani fulani huwa nikienda natumia mtandao wao.
Leo kuna kifurushi cha internet cha bandika bandua saa 24 (@TSH. 1000/=) kiliandikwa GB 4.. Sasa nashangaa nimejiunga nikawasha data, nikadownload "Dream League Soccer 2020" (MB 316) nkapat ujumbe et nimebakiwa na MB 50. Je, hii maana yake nini?
GB 3.5 saa 2 usiku mpaka saa 12 asubuhi.Hukosoma vizuri, bandika bandua kama ni 4GB huwa wanatenganisha, usiku labda 3 na mchana 1. Uwe unasoma kwanza na kuelewa menu.