johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nyumbani kumenoga!View attachment 1479110
Ndugu mteja,
Je una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu?
Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma zetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
[emoji654] Ni tatizo gani?
T - PESA, SMS, kupiga simu, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano na kadhalika.
[emoji654] Maeneo gani?
Tukifahamu eneo ulilopo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe.
[emoji654] Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
[emoji654] Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza?
[emoji654] Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi lifanyike ili tuzidi kuboresha huduma zetu.
Karibu
[emoji2398]TTCL Corporation.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa changamoto hiyo,tunaomba utuwasiliane nasi WhatsApp kwa namba 0738 151511.Nifungulieni line yangu
Menu haifanyi kazi
0737105901
Karibu sana TTCL.Sijawai ona wakala wa tccl na natamani sana nipate laini ya huu mtandao....
Kwa hapa mbeya wakala wenu wapo wapiKaribu sana TTCL.
Mtandao wenye vifurushi nafuu.
Okay,lakini kuna unafuu si sawa na TTCLHii unayopata wewe si kila mtu anapata
Yah!ni kweli mwanzo nilikua natumia mtandao wa Tigo,nimeona hawana huruma hata kidogo,Kwa sasa naweka pozi Voda wakizingua nitahama tena.Ilibidi uweke na siku kinazodumu, pia hii ni yakwako tu kwahiyo sio kila mtu atapata kama wewe kwa bei hiyo, halafu wanaangalia speed yako kwenye kukitumia wakiona speed yako kubwa wanakupandishia bei
Mkuu mimi nilikua na lain moja kwa zaidi ya miaka 12,nimeona baadhi ya mitandao wanafanya kama ndio kigezo cha kunikandamiza,mwezi uliopita nimeenda kununua simu nyingine,Lain ya zamani nitatumia kupokea simu tu,nitakua nanunua line mpya yenye ofa,wakipandisha bei natupa nanunua mtandao mwingine,hivo hivo mpaka tutafika,Tanzania mambo mengi sio rafiki kwa watumiaji wa hali ya chini,naona shida iko kwenye serikali yetuHuu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana toka kampuni ya vodacom hii wewe unapata pengine ni kwa sababu si mtumiaji sana wa huu mtandao lakini nikuhakikishie kadri unavyozidi tumia ndipo ofa hii inapunguzwa na ndiyo maana kuna tofauti ya mteja na mteja kwangu mimi ofa yangu ni kuanzia elfu tatu sasa huu si ujinga?! Kama kweli wao wako vizuri waweke hicho kifuri wanachokupa kwa watu wote kiwe sawa. Nafurahi kasi ya upatikanaji wa mtandao wao ila ukweli ni kwamba vodacom huduma zao gharama sana na pia ni WEZI na MAJIZI makubwa tu.
Habari ndugu nilinunua data ya 2GB ya mwezi lakini kila nikiwasha data on hata msg za whatsapp haziingii. Yaani mnaboa sanaView attachment 1479126
Ndugu mteja,
Je una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu?
Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma zetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
[emoji654] Ni tatizo gani?
T - PESA, SMS, kupiga simu, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano na kadhalika.
[emoji654] Maeneo gani?
Tukifahamu eneo ulilopo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe.
[emoji654] Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
[emoji654] Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza?
[emoji654] Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi lifanyike ili tuzidi kuboresha huduma zetu.
Karibu
[emoji2398]TTCL Corporation.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapa mtashindana na nani?Ongea na Chati zaidi kwa gharama nafuu ukiwa na TTCL Corporation #RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1478257View attachment 1478258View attachment 1478259
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kifurushi kitakuwa mahususi kwa dakika, mie sijawahi kukitumia sababu wana vifurushi vingi sana na ni nafuu hakuna mtandao unaofikia TTCL kwa unafuu wa vifurushi vyote ikiwemo vya data.Sasa hapa mtashindana na nani?
Mie nina laini yenu,toka nimeikea hela hata sioni niitumiaje.
Wekeni vifurushi shindani hata huko mnapopatikana tuwatumie vizuri.
Data ndiyo mpango.. Turudi nyumbani.
Panogesheni nyumbani sio maneno maneno tu.
Karibu sana TTCL.Ndugu TTCL leo umekuja na 'mood' ya kujibu comment ila usikimbie siku zijazo, maana maafisa habari mkipewa fungu siku ya kwanza ya 2, 3 mnasepa jumla...
Kama upo Mbeya Mjini ofisi zetu zipo mtaa wa Lupa Way.Kwa hapa mbeya wakala wenu wapo wapi
Asante kwa kutuandikia.TTCL ndo wamiliki wa mkongo wa taifa ila nilitupa laini yao sababu internet yao inazingua sana. Ongezeni minara
Asante kwa kutuandikia.
Tutalifanyia kazi ombi lako.