Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
bila shaka wewe ni mwajiriwa/mkereketwa wa TTCL, waambie waache mambo uchwara kama ya tigo watoe huduma nzuri kama wanavyoadvertise yani hata video conferencing inashindakana?
U-Bashite tu
sikiliza ndugu, me sio mjinga nikurupuke kuanza kuwalaumu ttcl kimahaba tu.sasa kama watu wame advertise wanapika wali mtamu then wewe ukaenda hotelini ukaagizia ugali then unalalamika ugali sio mtamu na kuwalaumu matangazo yao kosa ni la nani?
hili ni jukwaa la technology huwa hatuandikii mate,
1. onyesha proof kwamba unatumia huduma ya TTCL 4G na sio business package ambayo ni dedicated kwa speed hio.
2. eka screenshot ya speedtest ya hio 4g.
kama huwezi kuprove usiwatuhumu watu kwa vitu usivyovijua.
bado hujaleta proof ya TTCL 4Gsikiliza ndugu, me sio mjinga nikurupuke kuanza kuwalaumu ttcl kimahaba tu.
nimeleta kero, na nategemea wahusika wa ttcl walione hili na kulifanyia kazi na sio kuanza kulumbana na wahusika wenyewe.
karibia kila siku mnaleta fundi wenu lakini mambo ni yale yale yanajirudia. JIREKEBISHENI
Ni kweli lakin usifananishe 3g na 4g mkuuNawaheshimu Halotel..sio wakisport sport
Mwambie aweke screenshot ya speedtest tuone hyo speed ya 3G ya Halotel inayofananishwa na 4GNi kweli lakin usifananishe 3g na 4g mkuu
Mimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
Hapana mkuu huku iringa tigo 4g iko vizuri sanaa tena naifurahia kupita maelezo4G ya mtandao wa ttcl ndo maana halisi ya 4G speed .na sio hii mitandao mingine uongo mwingi
mkuu tuwekee screenshot ya SPEEDTEST tuthaminishe4G ya mtandao wa ttcl ndo maana halisi ya 4G speed .na sio hii mitandao mingine uongo mwingi
bila shaka wewe ni mwajiriwa/mkereketwa wa TTCL, waambie waache mambo uchwara kama ya tigo watoe huduma nzuri kama wanavyoadvertise yani hata video conferencing inashindakana?
U-Bashite tu
Hivi CMOS battery za DELL aina ya Desktop naweza kupata wapi hapa mjini mkuubado hujaleta proof ya TTCL 4G
Awa jamaa, Internet yake kwa upande wa maeneo ya apa Udsm vip? Wapo vizuri au ndio changamotoNilinunua line ya TTCL ya 4G kwa tshs. 2000/-,nikaweka kwenye simu. Kuvuka mataa ya ubungo network ikakata,sijawai itumia tena mpaka leo hii.
Kama Upo Dar nenda Machinga Complex utapataHivi CMOS battery za DELL aina ya Desktop naweza kupata wapi hapa mjini mkuu