mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
kwa 4g ttcl hana mpinzani ...na sasa hivi wamefika A town , mwanza sasa hivi naenjoy hapa,wapo moro,wapo zanzibar,WAPO MBEYA,KIBAHA...mdogo mdogo watafika tu kampuni ilihujumiwa sana na investment waliofanya ni hela zao za makusanyo hawapewa mtaji wowote na serikali...........kwa kweli wakimaliza coverage jiji lote la mwanza voda, airtel itakua kuishney mana huku mikoani ukiondoa dar jamaa wanazingua mno kwenye data 3g yenyewe ni shida kupata hata a hapa mjini...nilivoambiwa minara ya 4g ttcl wameshaweka TOWN,IGOGO,NYAKATO, NYEGEZI ,GHANA nilikimbilia laini yao haraka na kwa kweli na enjoy sana ....mi siangaliii gharama naangalia ubora.........hawa jamaaa wakipata mtaji wakiweka coverage nchi nzima ndio tutaona mpambano vzur
Tena ni GB 1 tu kwa wiki sii GB 3 mkuukweli wewe sio mtumiaji mzuri wa net! GB 3 wiki nzima!
Halotel hivi wameanza kutoa huduma za 4G?Mhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
Tofautisha 3G na 4G mheshimiwa.Very expensive...... Njoo Halotel very cheap na mtandao upo bold na fastest
Ukijiunga hiki kifurushi kwa line ya chuo tegemea speed kuwa ndogo saaana. Ila laini hiyo hiyo weka kifurushi cha kawaida cha mwezi elfu 25 speed inakuwa mzuri sana. Nimewahama halotel kwa huu ubabaishaji wao.Mimi halotel natumia line ya Chuo GB 10 Kwa Tshs 9,999/- kwa mwezi mzima
Laini zao zinaingia cm yyte au wa cm maalumu tu
BadoHalotel hivi wameanza kutoa huduma za 4G?
Kifurushi cha elfu 25 unapata gb ngapi mkuu?Ukijiunga hiki kifurushi kwa line ya chuo tegemea speed kuwa ndogo saaana. Ila laini hiyo hiyo weka kifurushi cha kawaida cha mwezi elfu 25 speed inakuwa mzuri sana. Nimewahama halotel kwa huu ubabaishaji wao.
Kumbe airtel hawana 4G, sasa zle modem zao za wingle magic cjui ni za kazi gani while network ya 4G hawanamkuu kila mtu na matumizi yake, hao TTCL wame target watu wao na Halotel watapata watu wao, mfano nataka kustream mpira full HD nitatafuta 4g sababu najua speed yake itanifaa, wewe unajali zaidi quantity kuliko quality hilo ni soko jengine. na kama unajali zaidi quantity kwa mawazo yangu hakuna mtandao unaoipita airtel kwa tanzania. Tsh 600 unapata 1.2Gb au 1000 unapata 2gb na usiku sh 600 ni 10gb, kama umewahi ona mtandao kama huu nijulishe.
Kumbe airtel hawana 4G, sasa zle modem zao za wingle magic cjui ni za kazi gani while network ya 4G hawana
Dah! Mkuu, yaani GB 1 tu kwa wiki nzima halafu unasema wana spidi nzuri!.. you can't be serious kwa kweli. Nadhani inawezekana hata hiyo 4g yao ina mwendo wa kobe kama kawaida yao!..Mimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
Ahsante mama yetu. Ndio sababu ninaikubali sana JAMII FORUM, ni zaidi ya shule. Kila Mwalimu unampata humu, ahsante sana!...= ladha
Hiyo SMART inacover vijiji vyote mkuu?kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kama huna 4g itabidi utumie 3g,
ila hata vijijini smart ni choice nzuri na vifurushi vyao vya unlimited, kwa 20,000 kwa mwezi au 1,000 kwa siku.
hichi unachokisema kipo right kwa upande mmoja kuna mtu alikuwa analalamika data chake cha data kinaisha mapema nikaingia data usage nikakuta kwa siku hyo peke yake ametumia Mb 800 na point kwenye instagramDah! Mkuu, yaani GB 1 tu kwa wiki nzima halafu unasema wana spidi nzuri!.. you can't be serious kwa kweli. Nadhani inawezekana hata hiyo 4g yao ina mwendo wa kobe kama kawaida yao!..
sio vyote ila wana coverage kubwa sana ya 3g, Tafuta simu yenye quad band za 3g halafu uiangalie kama ipo kwa kusearch network.Hiyo SMART inacover vijiji vyote mkuu?