MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,605
Niaje wadau?
Nina imani wengi wanaifahamu barcelona, hivi kwa nini msifanye relationship zenu ziwe kama barca,, jamaa ni zaidi ya familia, hata wakifungwa wanatoka wote vichwa chini na huzuni hakuna kulaumiana, wala kupondana,, husikii drama kwenye training, sijui watu wametoroka mazoezi, kuchukuliana wanawake wala nini,,
Wanabaki pamoja wanateteana kila kitu hata kama mwenzao amekosea (zile wakijiangusha) wenyewe wanapendana.. Yaani ni more than a family,,
Binafsi siwapendi kisoka maana wanaifungaga man utd yangu but napenda life style yao as a team,, natamani hata ndoa yangu iwe kama barcelona.. Tukifulia tusikitike pamoja na tuki shine napo tufurahi pamoja,, tuteteane na wife hata kwenye ujinga ile unajua kabisa hapa wife kakosea lakini unakuwa upande wake, tusiwe na drama in the house, tupendane on and off the pitch
Yaani jana naona kabisa the Feeling anayo feel messi baada ya kufungwa ni sawa sawa na anayo feel Alba au sanchez japokuwa wao na messi ni class tofauti, all team wanatoka wanyonge, no kulaumiana wala nini hadi wachambuzi wa super sport kina mark fish wakakubali hii ni Discipline that every human being must have on his house..