Trust Again in a Man.

Trust Again in a Man.

Ile loan wamesema watatoa nekst wiki, nikiipata tu nakudipu. Nataka tukaitafune loan yote ndani ya sku mbili. Kufa maskini ni fashion siku hizi

Nnavokujua utanidipu kweli? Last time ulinipotea kiaina.. Mi nnahasira na wewe usinione hivi.. Basi tu sababu tuna historia..
 
hata kama hujaelewa you have no choice whatsoever here!kakwambia kutimiza wajibu tu ila lazima angeenda

Huwa si attend any appointment bila ruhusa ya ricky.. He's such a sweetheart thats why ananiamini..
 
Hehehe! Anavyopenda sifa akisoma hapa tutakoma na kaby.

hahah halafu nimekuona mitaa flani SL uko busy mwenyewe.. Ntakwambia chemba ni mitaa gani nsije kuharibu movie nzima hapa bure!
 
Back
Top Bottom