sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Umeanza amyner, haya nakusubiri huku chemba lol..hahah halafu nimekuona mitaa flani SL uko busy mwenyewe.. Ntakwambia chemba ni mitaa gani nsije kuharibu movie nzima hapa bure!
Umeanza amyner, haya nakusubiri huku chemba lol..hahah halafu nimekuona mitaa flani SL uko busy mwenyewe.. Ntakwambia chemba ni mitaa gani nsije kuharibu movie nzima hapa bure!
nikilegea utanifanya nini?
Ooh honey, nafurahi vile umerudi!..kuja chumbani swetie!
"Pyaaaaaaaaaaaaaaa"
Nilisoma one week, kabla hatujafikia deskmate nikaacha!wifi,hukumaliza ile english course eh?kwani deskmate ni mume jamani?lol
Kakako katekwa tena na majambazi au? Namsubiri aje tulale simwoni, alitoka kupaki gari vizuri ndo kayeyu mazima!..
Umeanza amyner, haya nakusubiri huku chemba lol..
Tena wa kihistoria mpenzi!...Usiku wa leo nadhani utakuwa mtamu sana
Nnavokujua utanidipu kweli? Last time ulinipotea kiaina.. Mi nnahasira na wewe usinione hivi.. Basi tu sababu tuna historia..
Ntamchoka sasa, khaa!itakuwa ni dharula kama kawaida wifi
Hehehe, afu kawakosa wote, kweli nimeamini mtaka yote hukosa yote lol.
Ila wangu hapana manake ni kakake!
Kaby "Pyaaaaaaa"hebu kwa heshima ukilitumia tena unaweka jina langu lol
Mie pia nimekuona sehemu, nikisema hapa lazima Amy avunje uchumba! Niseme?Teh Amy mi nimejikausha nimwambie kesho we umemshtua duh kesho narudi palepale hadi uamini
Na haraka haraka haina baraka wifi..
Tena wa kihistoria mpenzi!...
Katekwa na majambazi!Kaby "Pyaaaaaaa"
Teh hivi uporoto bado yuko nyumba ndogo??
Huwa si attend any appointment bila ruhusa ya ricky.. He's such a sweetheart thats why ananiamini..
Aaah mezea na wewe bana!
Mie pia nimekuona sehemu, nikisema hapa lazima Amy avunje uchumba! Niseme?
Humjui mumeo/?