Trust Again in a Man.

Trust Again in a Man.

Ni kweli kabisa, lazima SL, Kaby na amyner waoneshe ushirikiano wa kutosha kwa hili neno la Mungu, azawaizi ufalme wa milele watausikia clouds FM tu

kwamimi ambae sisikilizagi hiyo FM ,ufalme wa milele nitausikia wapi?
 
kloro mi mzima.. Hehehe mwandiko huu ulikua wa bibi kanirithisha.. Halafu ile appointment yetu lini hivi? (ricky dear ni mambo ya kikazi tu. U trust me, right? Lol.)

itabidi tu akutrust kama hataki kula nyasi
 
Usijali darling nakuelewa....na nakutrust sana na najua klorokwini ni shemeji yako toka zamani

hata kama hujaelewa you have no choice whatsoever here!kakwambia kutimiza wajibu tu ila lazima angeenda
 
Back
Top Bottom