Mie pia nimekuona sehemu, nikisema hapa lazima Amy avunje uchumba! Niseme?
Aaah historia ya mzungu wa nne
Katekwa na majambazi!
na mchumia juani hulia kivulini ndo maana nakazanaPole my wii ila kumbuka kuwa atafutae hachoki na akichoka keshapata!
umbea crew!
Siku ya wanawake duniani hiyo, ntakushtaki hunitakii mema mwanamke mwenzio..ohoo!
Wifi kakako nshamsamehe bana, afu ukome kusikiliza mazungumzo yangu na kakako!
Afu atakuwa kalichukulia msumbiji manake halichuji.
Mdada?!?
OMG! KABY NAKUJA KUNUNUA ZILE KADI KESHO! AS EARLY AS POSSIBLE!!!
Ngoja nishauriane na husband then ntakujibu!
Wapendwa good night!
Mwaaaaaaah to you all!
Mniote nimeokota pochi la mzungu lenye mapound!
Love you wote.
kuna moja nyeusi ina mistari ya blue kubwa kweli itakufaa dear, elfu 10 tu.,inasomeka hivi
"I DONT LOVE U NOMORE MR.DEPENDENT, TAKE YOUR STUFS AND LEAVE,DONT BOTHER TO CALL ME,AM NO LONGER URS"
Inaendelea mpaka nyuma utaiona mwenyewe
Hayo maneno hayatoshi ntakuja kuchagua mwenyewe! Dah ricky huyu huyu wa kunidanganya mimi! Siamini. Mwayego mi ngoja nkatafte cha kunisahaulisha mawazo. So gudnait kesho ntakudamkia asubuhi shost. Fungua steshenari mapema.
Hehehe! Anavyopenda sifa akisoma hapa tutakoma na kaby.
Teh kwanini nifurahi sasa??? Tena kichwa hiloooooooo
HeeeeeHehehe! Jipe moyo! Ulikuwa pale na yule mdada mnafanya nini? Malizia upesi!
za asubuhi ricky?
Safi kabisa...umeamkaje
Heeeee
Kweli nimeamini mwanamke umbeya kusutwa suna.....