Trump launches military strike against Syria

Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Iraq haijatulia,walisema wanamtoa Saddam wataweka mtu mwingine,Afghanstan haijatulia,Libya haijatulia hadi wanajuta.
Mbona Syria ilikua imetulia nani aloanzisha vurugu Pale?
 
Ngoja tusubili tuone nani ni mwamba zaidi Putin akitulia mwenzake ananyolewa nitamuona mnafiki zaidi
 
This decision might trigger Russia's military action against all those seeming to militarily target Syrian government. It is not so good decision by US
 
Waarabu wakiamua kuwasaka Wamarekani na kulipa Kisasi watu povu linawatoka!

UZuri wa Waarabu kwny Suala la kulipa kisasi huwa hawasahau!

Kama ni halali kuua Raia wa Nchi zingine kwa kisingizio cha kutoa Tawala wasizozikubali pia haiwi Haramu Kuua Wamarekani wanaochagua Viongozi Wauaji.

Kama Wamarekani wanachagua Kwa hiyari Yao wapi wakaue, wapi wakapore na lini wakafanye hivyo kwa kutumia Nguvu walizopewa kisheria na Wamarekani kwa Njia ya kura Basi si HARAMU kuua Wamarekani wanaoruhusu Serikali Yao kuua Watu wa Nchi zingine kwa kadri wapendavyo
 
Nilidhani kisasi kingeanzia kwa mwarabu mwenzao Assad?

Au kuuwa wenzake kwa kemikali nihalali?
 
aad59aceacc21c74048cd79a9a9cfde1.jpg

Ndo vitu jeshi la US ilivyolenga.

Swali la kizushi: Hv zile S300 za Syria zilikua wapi mpk zinashambuliwa na hyo maTomahawk?!
 
Waarabu wakiamua kuwasaka Wamarekani na kulipa Kisasi watu povu linawatoka!

UZuri wa Waarabu kwny Suala la kulipa kisasi huwa hawasahau!

Kama ni halali kuua Raia wa Nchi zingine kwa kisingizio cha kutoa Tawala wasizozikubali pia haiwi Haramu Kuua Wamarekani wanaochagua Viongozi Wauaji.

Kama Wamarekani wanachagua Kwa hiyari Yao wapi wakaue, wapi wakapore na lini wakafanye hivyo kwa kutumia Nguvu walizopewa kisheria na Wamarekani kwa Njia ya kura Basi si HARAMU kuua Wamarekani wanaoruhusu Serikali Yao kuua Watu wa Nchi zingine kwa kadri wapendavyo

Wewe pita kuleee na hao Waarabu wako, kwani Syria alipowalipua raia wake na bomu ya kemikali hao hawakua waarabu. Mtapokea kichapo hadi mtie akili, tena Trump naona hamjamwelewa vizuri maana amewazuia kuingia Marekani kiulaini.
 
Hapo Urusi kaingizwa kidole kwenye jicho, anasubiriwa afanye yake ila ataishia kutoa matamko ya kulaani tu hamna lolote zaidi ya hapo.
Lakini kwa wadadisi wa mambo, Urusi imeanza kushuka kiuchumi kwa kasi na inahitaji vita vikubwa ili kunyanyuka. Hivyo naona wanaweza wakajitosa kwenye shughuli nzima.
 
Russia katulia
Maana hakutegemea kama haya yangetokea, hata Congress hawakujua wamemind sana
Critics wakubwa wa Trump kama McCain na Schumer wamemaifia kwa alichofanya maana ametuma ujumbe Russia na Kwa Assad
Kitakachotuata ipo siku NKorea atapewa kubwa kuliko hili

Leo ndio nimejua kuwa hawa Wamarekani huwa wanajua wapi pakupiga sema tu huwa hawataki kupiga

Watu bana mara ooooh Syria ana S400 leo haijadungua hata kombora moja
Leo nimeona Super Power maana yake nini
Urusi anapiga kelele tuuuuu kupitia RT yao
 
Uzuri wa Trump huwaga haongei sana. Juz kasema ataiadhibu Syria lkn hakusema kwa namna gani.
Ndo mjue kila aingia White House anakuta kila kitu kipo mezani,yeye anatekeleza tu.Trump kwenye kampeni alimlaumi Obama na watangulizi kuwa wao ndo sosi ya ugaidi middle East,mfano kuuliwa kwa Sadam na Gadafi.
Trump anaenda Syria kufanya kilekile walichofanya wenzie
 
Na me nilishawahi kusema hum ndan kwamba sera ya mambo ya nje ya Marekan haijawahi badilika na km kubadilika so Leo wala kesho.
Kila kitu kishaandaliwa ni swala la mda tu.
 
Wazungu hawajanywa damu pamoja na kula nyama ya binadamu kwa muda mrefu sasa, Trump yupo pale kwaajili ya kuwaletea kitoweo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom