Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Us wakimpiga bashari hiyo nchi haitatulia tena, coz us anachokifanya analisaidia kundi flani linachukua nchi na wao wanachukua chakwao wanaondoka bila ya kukaa na kuwaweka watu pamoja ili wao wakiondoka amani iwe imepatikana ya kudumu,
 
Zile ni Propaganda tu Kama zile za kusema Saddam alikuwa na Silaha za Maangamizi mpaka Leo bado zinatafutwa Miaka zaid ya 10 Tangu Saddam anyongwe!

Chanzo cha Vita ya Syria ni Marekani na NATO kusambaza Silaha kwa Njia ya anga kwa Raia ili waasi Serikali na hizo Silaha zikaangukia kwny Mikono ya Wahuni wa IS!

Ili uelewe imagine Marekani isambaze Silaha kwa Njia ya Anga kwny Jiji la Dar Es salaam halafu ziangukie kwny Mikono ya Panya Road jee utaipenda Marekani hata Kama ulikuwa unaichukia CCM?
Tofauti ya sisiemu na Republican ni kuwa Republican ni IS sisiemu ni panya road.
 
Naona alitoa taarifa kwa warusi kabla ya kurusha missile zake. Vinginevyo anti-missile system za urusi zilizoko Syria na kuendeshwa kutoka kwenye manawari zilizoko Mediterranean sea zingekuwa "on" na kungetokea star wars! Kwa hiyo mrusi alikubali kuweka "off" mitambo yake kwa makubaliano maalum! Hapo lazima mrusi alichora mstari ambao alisema hauwezi kuvukwa! Of course hata warusi hawakupenda kile kilichofanywa na Syria, hivyo kuridhia kuadhibiwa kwake!
Kama mrusi angegoma, bado marekani angekuwa mpole tu!
 
Hapa nadhani marekani wameona wanachelewa sana kutimiza malengo yao ya kumiliki biashara ya gesi asilia toka mashariki ya kati kwenda Ulaya kupitia syria ambayo Assad na Putin wanawawekea mguu kati.Lakini pia Marekani (wanazi wa chama cha republican haswa) wanatumia fursa hii kuwateketeza maadui wa Israel (hizbulah, iran, wapalestina). Huu mtifuano hautakuwa rahisi kama ilivyokuwa Libya na Iraq. Waarabu wengi sana watateketea katika hii vita ya mafaali..
 
I inaonekana ramani ya vita ya Mashariki ya Kati sasa inabadilika as both US and USSSR have vested interests in Syria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom