ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Ila Assad ashukuru mungu Hillary Clinton kakosa urais, maaaana angeupata pangekua hapatoshi.Russia katulia
Maana hakutegemea kama haya yangetokea, hata Congress hawakujua wamemind sana
Critics wakubwa wa Trump kama McCain na Schumer wamemaifia kwa alichofanya maana ametuma ujumbe Russia na Kwa Assad
Kitakachotuata ipo siku NKorea atapewa kubwa kuliko hili
Leo ndio nimejua kuwa hawa Wamarekani huwa wanajua wapi pakupiga sema tu huwa hawataki kupiga
Watu bana mara ooooh Syria ana S400 leo haijadungua hata kombora moja
Leo nimeona Super Power maana yake nini
Urusi anapiga kelele tuuuuu kupitia RT yao