Trump kawa kichaa

Trump kawa kichaa

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,635
Reaction score
14,029
Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
 
Tumuombee tu maji yamedhidi Unga‼️
kibabu cha kilokole kilijua Iran sawa na Venezuela 😛😛
 
Attachments

  • IMG-20260326-WA0001.jpg
    IMG-20260326-WA0001.jpg
    29.6 KB · Views: 2
Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
Wenye akili tushampuuza zaman huyo mzee.
 
Anajua anachokifanya Donald Trump,
Yani hakuna cha kupuuza anachosema Trump comments zake zinaathari ya moja kwa moja katia hii vita 🙏
 
Leo kaja na mpya eti Iran kakubali masharti 15 Iran wakasema huyu dunia nzima wameisha muona hayuko sawa ghafla ka tweet Iran asipofungua Hormuz tapiga power station zote na visima vya mafuta hahaha kweli huyu kisha changanyikiwa hata USA wanasema akapimwe akili zake
Ni hatari Nchi kuwapa vizee vya above 65
 
Back
Top Bottom