TRUMP: Putin amedhoofika

5520

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
610
1,148
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema jaribio la uasi wa Wagner nchini Urusi limemdhoofisha Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin

Trump ambaye kwa muda mrefu amekua akivutiwa na rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Putin amedhoofishwa kwa kiasi fulani na uasi huo uliokomeshwa na kwamba sasa ni wakati wa Marekani kujaribu kufanya makubaliano ya amani kati ya Urusi na Ukraine.
 
Du!! hii move inabadilika kufuatana na muda unavyokwenda....
Leo BBC na Al Jazeera wanasema Wagner wanaendelea kufanya recruitment ndani ya Russia...na huko beralus kuna kambi za kijeshi za zamani zimeanza kusafishwa na kufanya maandalizi na Wagner ili kuendnleza shughuli zao za kijeshi..
 
Wakampige sasa
Badala ya kumpiga anawaomba wafanye mazungumzo ya amani.
Trump ni kiongozi aliyekuwa anapenda amani.Rejea jinsi alivyokutana na kiongozi wa North Korea.Kipindi cha Trump kuwa raisi wa Marekani,ni kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu ziliingia makubaliano ya amani na nchi ya Israel.Pia Trump alilaani uvamizi wa Iraq na hata Libya!
 
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema jaribio la uasi wa Wagner nchini Urusi limemdhoofisha Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin

Trump ambaye kwa muda mrefu amekua akivutiwa na rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Putin amedhoofishwa kwa kiasi fulani na uasi huo uliokomeshwa na kwamba sasa ni wakati wa Marekani kujaribu kufanya makubaliano ya amani kati ya Urusi na Ukraine.
Safi sana Trump childhood mate.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba; Putin amedhoofika kutokana na jaribio la uasi,

Halafu;
Marekani ifanye makubaliano ya amani na Putin.

Kwa Nini kama amedhoofika wasiongeze nguvu kumshinda?

Trump ana akili nyingi sana.

Kuna ujumbe ameufikisha kwa Marekani.

Maana katika Hali ya kawaida kama unapigana na mtu halafu akaonekana kudhoofika,wewe unachotakiwa kufanya ni kuongeza mbinyo,dozi au kipigo ili kumaliza game mapema.
Lkn huo haukua ushauri wa trump.
Trump kashauli marekani ifanye mazungumzo ya amani na Urusi,baada ya Putin kudhoofika😀.
Busara Ina nguvu sana .
 
Kwamba; Putin amedhoofika kutokana na jaribio la uasi,

Halafu;
Marekani ifanye makubaliano ya amani na Putin.

Kwa Nini kama amedhoofika wasiongeze nguvu kumshinda?

Trump ana akili nyingi sana.

Kuna ujumbe ameufikisha kwa Marekani.

Maana katika Hali ya kawaida kama unapigana na mtu halafu akaonekana kudhoofika,wewe unachotakiwa kufanya ni kuongeza mbinyo,dozi au kipigo ili kumaliza game mapema.
Lkn huo haukua ushauri wa trump.
Trump kashauli marekani ifanye mazungumzo ya amani na Urusi,baada ya Putin kudhoofika.
Busara Ina nguvu sana .
Huwezi kuelewa kwa sababu liko nje ya uwezo wako
 
Du!! hii move inabadilika kufuatana na muda unavyokwenda....
Leo BBC na Al Jazeera wanasema Wagner wanaendelea kufanya recruitment ndani ya Russia...na huko beralus kuna kambi za kijeshi za zamani zimeanza kusafishwa na kufanya maandalizi na Wagner ili kuendnleza shughuli zao za kijeshi..
Ndivyo ilivyo mkuu! Harafu mkuu wa Wagner alishakutana na Putin na haijulikani kilichozungumzwa,kwa hiyo nadhani operation itaendelea kama kawaida.
 
Trump ni kiongozi aliyekuwa anapenda amani.Rejea jinsi alivyokutana na kiongozi wa North Korea.Kipindi cha Trump kuwa raisi wa Marekani,ni kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu ziliingia makubaliano ya amani na nchi ya Israel.Pia Trump alilaani uvamizi wa Iraq na hata Libya!
Main stream media walikuwa bize kumchafua ila aliwapuuza.
 
Back
Top Bottom