Trump huyu kiboko

Trump huyu kiboko

Sijui kama umesoma vizuri. Kuna sehemu nimesema tunaficha maradhi? Kwenye post niliandika instead yakujitangaza kama wewe nimjinga, fanya juhudi usiwe mjinga.

Kama mtu kaniita masikini, siwezi kutoka nikajitangaza mimi ni masikini, instead nitakaa kimya niwaze jinsi ya kutoka kwenye umasikini. Najua watu wanaona mimi masiki, sitaki kuweka mawazo kuwa sitokuwa tajiri. Watanzania wenzangu, mnashabikia maneno ya Trump, hata kama ni kweli, kwanini tuyarudie?? Let's work on ourselves atuone masters instead of slaves

Ey, huu ni mtazamo wangu tu.

-callmeGhost
Kama wewe ni MJINGA ila ukajitangaza wewe una akili hakuna mtu atakusaidia kufuta ujinga wako na Kama wewe ni maskini lakini ukajifanya tajiri hakuna atakayekusaidia kuondoa umaskini ukiwa mgonjwa lazima umueleze daktari ukweli halisi kuhusu ugonjwa wako ukificha kifo kitakuumbua. Ujinga na ubadhirifu wa baadhi ya viongozi wa kiafrica usipoanikwa wazi wazi wataendelea kutunyonya bora kila mtu awajue labda wanaweza (Trump) kutusaidia to get rid of them
 
Trump hajawahi kusema hayo maneno.
Are you really sure? Nikikuwekea clip utasemaje zaidi??
Sijui kama umesoma vizuri. Kuna sehemu nimesema tunaficha maradhi? Kwenye post niliandika instead yakujitangaza kama wewe nimjinga, fanya juhudi usiwe mjinga.

Kama mtu kaniita masikini, siwezi kutoka nikajitangaza mimi ni masikini, instead nitakaa kimya niwaze jinsi ya kutoka kwenye umasikini. Najua watu wanaona mimi masiki, sitaki kuweka mawazo kuwa sitokuwa tajiri. Watanzania wenzangu, mnashabikia maneno ya Trump, hata kama ni kweli, kwanini tuyarudie?? Let's work on ourselves atuone masters instead of slaves

Ey, huu ni mtazamo wangu tu.

-callmeGhost
 
It is shameful for African leaders seek to exist from ICC,In my view."these leaders want to have all the freedom on to oppress their poor people without anyone asking them a question "

Fantastic speech...

Hapa hakuna kiongozi Wa Africa anayeweza sogea kujibu kama yupo ni yule aliyejitoa ufahamu.....
Mugabe
 
Kuna uongo wa aliyoyasema? Usilete UCCM, just be objective. Ni kuwa kasema ukweli. Kuna rais wa africa ambaye siyo Billionaire> Kuna rais wa africa ambaye siyo mwizi?
siwezi kuwa objective kwa wewe kunilazimisha niwe CCM sijawahi kuwa democrat wala republican hata wewe hujawaji labda hivyo usiniunganishe na vyama vya kiuchwara isee nimetoa hoja yangu kwa kuzingatia hiyo kauli ya huyo rais wa marekani usijaribu kunitoa kwenye track kabisa mkuu jielekeze kwenye mada Trump na hiyo kauli yake anahusiana vipi na CCM sasa?
 
Kwa nini watu weusi walishindwa kuwatawala watu weupe? Kwa nini viongozi wa kiafrica wanakimbilua kujitoa ICC? Kwa nini viongozi wa Africa wanabadili katiba ili wabaki madarakani milele? Kwa Africa ni maskini wakati Ina rasilimali za kila aina!? Kwa nini viongozi wa Africa wa ajili mbili pia Mali ili hali raia walio wengi ni maskini?
UKIJIBU Hayo then unaweza kumshambulia Trump
we are poor because we are poor!Wala sio sababu ya trump ama yoyote yule!
 
Trumph nampenda kwa sababu anaongea ukweli mtupu
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.

Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.

Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.

“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question.

I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be life presidents.

They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example.

The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-torn countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.

Truth hurts
 
nimemuelewa hapa
'they gathering like hynes with the aim of finishing the poor people"hhaaaaa....

accumulating wealth from poor taxe payers

asante triumph...
 
mkuu, Trump alishasema siku nyingi kuwa waafrika tunatakiwa tutawaliwe tena na wazungu maana tunachokiweza ni kufanya ngono na kucheza ngoma tu. alichokisema sasa ni kama marudio tu.
huyo ndiye Trump.
Hakuna video yeyote inayoonyesha kuyasema hayo, hizo nadhani ni fitna tu za kisiasa,
 
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.

Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.

Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.

“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question.

I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be life presidents.

They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example.

The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-torn countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.

Truth hurts
 
nimemuelewa hapa
'they gathering like hynes with the aim of finishing the poor people"hhaaaaa....

accumulating wealth from poor taxe payers

asante triumph...
Trump anasingiziwa sio maneno yake,

-------- The Trump family is flying from New York to Washington when Donald looks down on the cities below and says "I think I'll throw a $1000 bill out the window and make some American happy." Melania says "Oh honey, why not throw ten $100 bills out the window and make ten Americans happy?" So then Ivanka says, "Even better Daddy, throw 100 ten dollar bills out the window and make 100 people happy? To which the pilot says "Why don't you all jump out the window and make the whole damn country happy?"---------

[emoji5][emoji5][emoji5]
 
Back
Top Bottom