Kwa nini watu weusi walishindwa kuwatawala watu weupe? Kwa nini viongozi wa kiafrica wanakimbilua kujitoa ICC? Kwa nini viongozi wa Africa wanabadili katiba ili wabaki madarakani milele? Kwa Africa ni maskini wakati Ina rasilimali za kila aina!? Kwa nini viongozi wa Africa wa ajili mbili pia Mali ili hali raia walio wengi ni maskini?mwambieni trump ajitawaze kwanza hawezi kutusema waafrika vibaya hivyo wakati miaka mingi iliyopita walipopata uhuru hayo waliyoyasema ndio ilikuwa maisha yao weusi walikaa kimya ukandamizaji ulipoonesha sura yake halisi squandering na abuse of power vilikuwepo weusi hawakupiga kura hakuna jipya kuhusu waafrika ambalo marekani halijalifanya nafikiri anatakiwa afunge bakuli lake na sisi tunaojua hali yetu tujizungumzie wenyewe hana haki ya kutusema vibaya wakati amerika imemwaga damu ya wengi zaidi duniani kuliko taifa lolote
Mficha maradhi kilio humfichuaYani watanzania! Badala tuujimbie kuwa tunaweza, nyie ndo kwanza mnazidi kurepost kuwa sisi tunaishi kama slaves na tunatakiwa tutawalie. Sijui mnaona sifa. Hata kama ni mweli tunaishi kama slave, sio sababu ya kujisifia.
Mwalimu wangu alishaniambiaga, mtu akikuita mjinga, usitangaze. Siji ukaenda kushtaki kuwa amekuita mjinga. Itakuwa wewe ni mjinga kweli. Instead, jiangalie, jiongeze, fanya vizuri katika maisha. Atajiona mjinga yeye. Haya Trump kasema we live like slaves, na nyie ndo mnamuunga mkono, mnadhani atawasaidia.
This is so simple, we are black, we will always be black, black lives don't matter to white people. Now let's join forces and show them that we rule this continent.
-callmeGhost
YUKO SAHIHIDonald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.
Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.
Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.
“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question.
I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be life presidents.
They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example.
The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-torn countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.
Truth hurts
Kuna uongo wa aliyoyasema? Usilete UCCM, just be objective. Ni kuwa kasema ukweli. Kuna rais wa africa ambaye siyo Billionaire> Kuna rais wa africa ambaye siyo mwizi?mwambieni trump ajitawaze kwanza hawezi kutusema waafrika vibaya hivyo wakati miaka mingi iliyopita walipopata uhuru hayo waliyoyasema ndio ilikuwa maisha yao weusi walikaa kimya ukandamizaji ulipoonesha sura yake halisi squandering na abuse of power vilikuwepo weusi hawakupiga kura hakuna jipya kuhusu waafrika ambalo marekani halijalifanya nafikiri anatakiwa afunge bakuli lake na sisi tunaojua hali yetu tujizungumzie wenyewe hana haki ya kutusema vibaya wakati amerika imemwaga damu ya wengi zaidi duniani kuliko taifa lolote
CCM oyee, Mashetani Oyee,Yani watanzania! Badala tuujimbie kuwa tunaweza, nyie ndo kwanza mnazidi kurepost kuwa sisi tunaishi kama slaves na tunatakiwa tutawalie. Sijui mnaona sifa. Hata kama ni mweli tunaishi kama slave, sio sababu ya kujisifia.
Mwalimu wangu alishaniambiaga, mtu akikuita mjinga, usitangaze. Siji ukaenda kushtaki kuwa amekuita mjinga. Itakuwa wewe ni mjinga kweli. Instead, jiangalie, jiongeze, fanya vizuri katika maisha. Atajiona mjinga yeye. Haya Trump kasema we live like slaves, na nyie ndo mnamuunga mkono, mnadhani atawasaidia.
This is so simple, we are black, we will always be black, black lives don't matter to white people. Now let's join forces and show them that we rule this continent.
-callmeGhost
Watanganyika wanaamini kila kitu ilimradi kimeandikwa in English.Unaamini kabisa kuwa Trump ndo kasema hayo maneno?
Hajaapishwa anaapishwa 20/01/2017 acha kukurupukaInawezekana ujumbe una tija ila kwa hakika sio maneno ya Trump. Kwanza Trump toka aapishwe hajaenda state yeyote zaidi ya NY anapoishi sasa, pili Trump hana muda na mambo ya Africa yeye is all about making America great again.
Lini alikua Nebraska toka amalize harakati za uchaguzi?Sio lazima kuamini
anatofauti gani na MTUKUFU?Kosa kubwa huyu kuwa Rais
Sijui kama umesoma vizuri. Kuna sehemu nimesema tunaficha maradhi? Kwenye post niliandika instead yakujitangaza kama wewe nimjinga, fanya juhudi usiwe mjinga.Mficha maradhi kilio humfichua
Ndio nani?anatofauti gani na MTUKUFU?
Trump hajawahi kusema hayo maneno.mkuu, Trump alishasema siku nyingi kuwa waafrika tunatakiwa tutawaliwe tena na wazungu maana tunachokiweza ni kufanya ngono na kucheza ngoma tu. alichokisema sasa ni kama marudio tu.
huyo ndiye Trump.