Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,966
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeshindwa kuniwekea hiyo video kwa sababu haipo.
Ni uzushi. Uongo mtupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na si wajinga tu. Ni wajinga na wapuumbavu kabisa.Nimewahi aminishwa kuwa JF ni home of great thinkers, LAKINI NILICHOKIONA KWENYE COMMENTS ZA LEO NIMEGUNDUA NILIKOSEA,KUNA WAJINGA WENGI KULIKO FACEBOOK.Kuna mtu yoyote hapa anaweza thibitisha kuwa Trump kasema huo ujinga? Magreat thinkers mnatiririka tu na kuonesha ujinga wenu.
Hicho ulichokibandika hakijawahi kusemwa na Trump popote pale.Kama alichosema Trump ni ujinga basi Hata wewe ni mjinga
Kwa kifupi jamaa hana clip wala nini.Clip iko wapi?
Iweke hapa kama si uzushi....
Mkuu hapa huyu jamaa anatuzingua tu, nche yake yeye sio mwanachamaIt is shameful for African leaders seek to exist from ICC,In my view."these leaders want to have all the freedom on to oppress their poor people without anyone asking them a question "
Fantastic speech...
Hapa hakuna kiongozi Wa Africa anayeweza sogea kujibu kama yupo ni yule aliyejitoa ufahamu.....
Unakuwa kama Mbowe, eti oh wabunge wamehongwa bla bla bla. Anapotakiwa athibitishe tuhuma anaanza kuleta longolongo kemkem....ambaye unasema trump hajasema kanusha huu ujumbe pia kuwa hauna ukweli kwakuwa hajasema trump.....
Hapa ndio uwaga na feel unhappy kukosa loan kwa ajili ya kuwaongea wanyanyua miguu ka wewe yani dah ngoja nikope tu nisipoteze wakati ...Na minyama yote hiyio unazani utapata mpenzi kweli?? na wewe najua ni mvivu hata kunyanyua paja juu ni shida kweli pole sana we mapenzin utayasikia kwenye bomba tuu.
Jadili ukweli uliopo apo..au kama ni uongo sema..kasema nan sio hojaUnakuwa kama Mbowe, eti oh wabunge wamehongwa bla bla bla. Anapotakiwa athibitishe tuhuma anaanza kuleta longolongo kemkem.
Endapo ikitokea,wew ungependa tz iwe koloni la taifa gani?He is very right. A friend of the great Gaddafi.
Hivi sasa tu koloni la mataifa mengi sana.Endapo ikitokea,wew ungependa tz iwe koloni la taifa gani?
Mbowe amewaharibu sana.Jadili ukweli uliopo apo..au kama ni uongo sema..kasema nan sio hoja
Maneno ya pikTrump hajawahi kusema hayo maneno.