TRUMP Atumia Jeshi kudhibiti maandamano !

TRUMP Atumia Jeshi kudhibiti maandamano !

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
 
Weka link mzee ili uaminike kirahisi.Kizazi hiki kinahoji sana.
 
Na nyie tumieni jeshi kuzima no reforms no election.
 
Huwezi kuwaona wale Watanzania Uchwara wakiingia kwenye nyuzi kama hii

Kwanini?

Tukisema tumeingiliwa huwa hatukosei.

CHADEMA wako wapi kukemea haya?

Yule Lodi Loffa denning yupo wapi?
 
Back
Top Bottom