MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,114
- 3,768
Trump analaumiwa kwa agenda zake kukisababishia Chama chake Cha Republican kushindwa kushinda Mabunge yote Mawili (Congress & Senate).
Kwa kawaida Uchaguzi wa katikati ya Mhula (Midterms Elections) Chama kilichoko madarakani kilikuwa lazima kipoteze udhibiti wa Mabunge yote Mawili. Kipindi Cha utawala wa Trump Chama chake Cha Republican kilichukua udhibiti wa Senate na Congress wakati wa Uchaguzi mkuu Mwaka 2016. Lakini Ulipofika Uchaguzi wa Midterms wa Kati Kati ya Muhula,Chama Cha Trump kilinyang'anywa udhibiti wa Mabunge yote 2.
Lakini Kutokana na Chama Cha Republican kuendelea kutegemea Popularity ya Trump na Sera za ubaguzi sasa Chama kimepigwa Chini kwenye Senate. Mpaka Sasa Democrats wanadhibiti wingi wa Viti kwenye Senate kinyume wa matarajio ya wengi. Kule kwenye Congress Mpaka Sasa Democrats Wana Viti 203 dhidi ya 211 walivyopata Republicans na Kura zinaendelea kuhesabiwa kwenye majimbo ya California,Arizona na Ohio.
Kama Republicans wataendelea kumchekea Trump kwa Sera zake za Kiumaarufu (Popularity) basi iko wazi hata Uchaguzi mkuu wa 2024 wanaweza wakapigwa Chini.