Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,273
- 10,126
Evelyn usinfanyie hivyo eti....kama vp fungua prfl nkuchek ...Hizi kete karushie mmu sio huku
Evelyn usinfanyie hivyo eti....kama vp fungua prfl nkuchek ...Hizi kete karushie mmu sio huku
Hicho cha kusema ukweri bila ya kuogopa diplomasiaAhsante, ila ana nini cha mno hadi apendwe?
kisa>?Trump akishinda nitafanya sherehe nyumbani kwangu
Kwakweli sifatilii kabisa, siasa zimenipita kushotoHufwatilii ndo maana unasema ivo!! Mi sizani kama trump anamkuta clinton kwa ubaguzi
Watu wa Ughaibuni bwana...Mawazo ya africa

hahaha tumetoa hiyo CNNLini na wapi?
Naomba nukuu na chanzo kutoka kwenye credible media entity, tafadhali.
Kusema tu alisema hivi au vile haitoshi.
Watu mko wepesi sana kuingia mkenge na mambo ya kizushi.
Sasa kukata mzizi wa fitna, naomba niwekee hapa vyanzo kutoka kwenye vyombo vya habari vya kuaminika na si viblogu vya mambo ya satire.
Haiwezekani kabisa katika msimu wote huu wa kampeni, kusitokee hata mpinzani wake mmoja kuanzia kwenye chama chake hadi huyu bibi asiitumie hiyo fursa kwa kuyatumia hayo maneno unayodai aliyasema.
ajuzadada au bibi?
hahaha tumetoa hiyo CNN
Wewe kiazi, umeambiwa utoe evidence unakuja kubwabwaja ujingaz. Huna vyanzo, nyamaza kiazi we!!Usitupotezee muda na ubishi wako wa kilevi, not only liberals wanaosema Trump is a racist hata respected conservative media like wallstreet wameeleza Historia yake ya kibaguzi sasa just do yourself a favor and google Trump racist comments na hiyo dola 200 yako ya Zimbabwe jiwekee hifadhi ikusaidie baadaye
wewe, Trump na mbululaz wenzako wote mwisho wenu leoWewe kiazi, umeambiwa utoe evidence unakuja kubwabwaja ujingaz. Huna vyanzo, nyamaza kiazi we!!
Achana nae huyo Elli anapendaga ligi za kijingawewe, Trump na mbululaz wenzako wote mwisho wenu leo