eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
- Thread starter
- #21
Firauni ni mfalme wa zamani wa Misri ndio alitwaga hivyo
Firauni ni mfalme wa zamani wa Misri ndio alitwaga hivyo
Nmetukana dini ya nani, na nmemtukana nani!?Chuki yote hii ya Nini, matatizo yako uvivu wako, ya Nini kutukana dini ya mwenzako...
Umenijibu vemà mkuu thnx, sio wengne wanatoka mapovu tu utadhan wanaanguka kifafa!Mtoto wa trump ambae pia ni mshauri wake ivanca trump
ndio raisi wa kwanza wa America kwenda Vatican?,Hahahah hatimye Jesuits wamefanikiwa kusimika wakala.
Good Rc....Kazi inaendelea....
Roma locuta causa finito
Muunganiko kati ya serikali na kanisa waanza rasmi sasa.
nimetuliaTulia wewe
Walishaenda wengi tuNd
ndio raisi wa kwanza wa America kwenda Vatican?,
Hiyo ni kama salamu tuVATICAN WANEENDA VIONGOZI WENGI SANA,WAWE VIONGOZI WA NCHI,VIONGOZI WA KIDINI UKRSTO/UISLAM NA NK. WOTE WANAPOENDA PALE NI LAZIMA WAWE WA POLE SANA,UNYENYEKEVU. MWINGI SANA .
KUBUSU PETE YA PAPA NI MOJA WAPO WA UTII WA VIONGOZI HAO KWA PAPA,HAPO NDIPO UTAJUA PAPA NI ZAIDI YA TUNAVYOMUONA ANA AGENDA NZITO NYUMA. YA PAZIA. TAFAKARI SANA
Ameshajifunza maana ya kuwa RAIS WA DUNIA na anaonekana KUKUA sasaLeo trump alikutana na Papa fransis nchini vaticani huku ombi kubwa la Papa fransis kwa donald trump likiwa ni kuizungumzia zaidi amani na kuitafuta zaidi amani kuliko vita
Huku rais donald trump akimwahidi kulifanyia kazi ombi lake kuanzia leo na kuendelea![]()
![]()
![]()
Papa hana mke, hana ruhusa ya kuoa ni padri huyoHuyo mwanzoni kushoto ni mke wa papa?
Umenijibu vemà mkuu thnx, sio wengne wanatoka mapovu tu utadhan wanaanguka kifafa!
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Ila busara kwa magaidi yaani kwa mtu aliyekuwa ananyang'anya wanaume wake zao,mbakaji yaani wavae vitamba jehanam.Shubaamit endelea na upuuzi wako
subiri akupe maelekezo menginenimetulia
sawasubiri akupe maelekezo mengine
Papa hana mke Ndugu.Huyo mwanzoni kushoto ni mke wa papa?
Vatican wapo jirani na mbingu ya sabaMoja ya mjadala mkali Leo ilikuwa mbona hawa walipofika Vatican walifunika nywele zao lakini walipokuwa Saudi hawakujifunika.
Acha ulimbukeni wewe weka ushahidi hata wa picha kuonyesha shehe anabusu hiyo pete.Kwa taarifa yako kama hujui sisi tunawapenda watu wa kitabuVATICAN WANEENDA VIONGOZI WENGI SANA,WAWE VIONGOZI WA NCHI,VIONGOZI WA KIDINI UKRSTO/UISLAM NA NK. WOTE WANAPOENDA PALE NI LAZIMA WAWE WA POLE SANA,UNYENYEKEVU. MWINGI SANA .
KUBUSU PETE YA PAPA NI MOJA WAPO WA UTII WA VIONGOZI HAO KWA PAPA,HAPO NDIPO UTAJUA PAPA NI ZAIDI YA TUNAVYOMUONA ANA AGENDA NZITO NYUMA. YA PAZIA. TAFAKARI SANA