Trump alipomtembelea Papa Fransis Vatican

Trump alipomtembelea Papa Fransis Vatican

Acha ulimbukeni wewe weka ushahidi hata wa picha kuonyesha shehe anabusu hiyo pete.



pop.jpg
 
Baba mwana na roho Mtakatifu huu ni Utatu Mtakatifu ambao kanisa katoliki linaukubali
 
Mimi nadhaji Jua ni kuu zaidi kuliko mwezi .Mrs Trump anafahamu ilo.

ukiwa Saudi ni kama upo kwa mama tu na kwa kuwa yeye ni gal hana budi kudeka ila Vatican ni kwa light giver nasio Saudi kwa light receiver .alazima awe na staha kiuvaaji.
kwa hiyo ina maana kuvaa nguo ndefu kwa wanawake ndo ustaarabu,uungwana na utu...kwa hiyo sehemu ya heshima unavaa kiheshima eeh!!!!vp hawa dada zetu wanaovaa vimini kanisani
 
Back
Top Bottom