Ndiyo Raha ya ushabiki, kujifariji. Ilisemwa Iran hapigiki,, ikoje sasa.Wanajitetea Trump kawazuia kumbe wanajua kitakachofata ni hicho kinchi uchwara kitageuzwa juu chini, hamna cha Iron Dome wala nini Supersonic za Iran zinchakaza mji ndani ya sekunde
Mkuu huijui Iran wewe.Mapigano ya muda mrefu Iran hawezi. Vikwazo vimempa ukilema halafu Israel katikisa mfumo wa fahamu hivyo anaona maluelue. Ndo maana hata makombora yake anayarusha tu kama mwendawazimu yakipata tageti sawa yakikosa sawa.
Ayatollah ni kiongozi wa dini.Watu wengi hawajui repercussions za kuua head of state.
Wakuu wa nchi huwa hawauwawi hovyo. Consequences zake ni mbaya sana.
Either way ni kiongozi wa kidini na kisiasa pia kama alivyo papa pale Vatican.Ayatollah ni kiongozi wa dini.
Sio kiongozi wa kisiasa.
Bora uue kiongozi wa kisiasa ila sio wa kidini tena wa kishia.
Hehehehe washia Wana itikadi mbaya sana wale..
Sahihi.Either way ni kiongozi wa kidini na kisiasa pia kama alivyo papa pale Vatican.
Iran ni Jamuhuri ya Kiislamu so Ayatollah ni kiongozi wa kiserikali na kidini.
Siyo hapigiki .walisema agusiki Leo wote kimya.Ndiyo Raha ya ushabiki, kujifariji. Ilisemwa Iran hapigiki,, ikoje sasa.
Sahihi mkuu.Na inachukuliwa uzito wa kidini sababu inaongozwa kwa kufuata misingi ya kidini.Sahihi.
Ila anachukuliwa uzito wa kidini zaidi.
HAhaha wampe naye aka test zari lake, anaweza kuleta matokeo aliyokuwa akiyasema.huyo ndiye aliyetamka maneno ya kuifuta israel kwenye ramani ya dunia
USA inacheza hizi karata kwa akili..hawataki kutengeneza maadui wawili kwa wakati mmoja..Tishio kubwa la marekani na mfumo mzima wa kidemokrasia ni UISLAM. Na ili waendelee kuwadidimiza waislam ni lazima wahakikishe kuwa hawapambani na waislam wote kwa pamoja kwa wakati mmoja.Sina uhakika jamaa watakubali kwa kile aliwatenda October mmmm sijuwi
mashia, masuni, sisi waafrika weusi tii inatuhusu nini hiyo siasa ya waarabu/waajemi? Udini tupilia mbaliUSA inacheza hizi karata kwa akili..hawataki kutengeneza maadui wawili kwa wakati mmoja..Tishio kubwa la marekani na mfumo mzima wa kidemokrasia ni UISLAM. Na ili waendelee kuwadidimiza waislam ni lazima wahakikishe kuwa hawapambani na waislam wote kwa pamoja kwa wakati mmoja.
Shia na Sunni wakiungana pamoja kuwakabili mayahudi na marekani basi dunia lazima iingie kwenye vita ya tatu ya dunia.Na ugomvi wa waislam huwa hauishi ni wa vizazi na vizazi.
Hivyo Wanapigana na Mashia ila pia hawataki kuibua hisia za Mashia wote ulimwenguni kwa kumuua kiongozi wao mkuu.
Ni kama stori ya Daudi, Jonathan na Sauli kule pangoniHabari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Hakuna lolote wewe hizo ni Kanga za Tela Aviv. Hata Shetanyahu kakanusha hayo kwenye fox news
Soma huu uzi. Huyo Ayatollah atashindwa kuuliwa? Hawa hata kwenye nchi yako hakuna viongozi wenye uwezo kama hawa. Unauwaaje kirahisi hivyo kama kukuNi kama stori ya Daudi, Jonathan na Sauli kule pangoni