Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,281
- 8,363
Hata hakumbukwi...usa wameweka watu wao pale kimyaaaa hakuna Cha Allah Akbar..Kuongea hata Saddam aliongea, tunavyoongea ameshaoza
Hata hakumbukwi...usa wameweka watu wao pale kimyaaaa hakuna Cha Allah Akbar..Kuongea hata Saddam aliongea, tunavyoongea ameshaoza
Iko hivi hata wewe sio mshia.Akimuua Ayatollah inageuka kuwa religious war.
Mashia Kila kona wataibuka.
Yani kheri umuue rais kuliko kiongozi wa dini wa kishia.
Weeh weeh utakoma.
Tuoneshe source ya habari yako ya awali hapa otherwise wewe hamnazoMida hii Pakistan wametoa taarifa ya kukanusha walokisema hapo awali na kusafisha hali ya hewa.
Ifuatayo ni taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Pakistan:
Pakistan denies reports of nuclear strike threat against Israel
'Israeli media is spreading misinformation about Pakistan'.
The Ministry of Foreign Affairs (MoFA) has strongly rejected reports circulating in Israeli media claiming that Pakistan has threatened Israel with a nuclear strike, labelling them as “baseless and fabricated.”
According to details surfaced on Sunday, a spokesperson for the MoFA stated that there is no truth whatsoever to the reports being broadcast by Israeli outlets. “These claims are entirely unfounded. The Israeli media is spreading misinformation and presenting false narratives about Pakistan,” the spokesperson said.
– MoFA reiterates responsible nuclear stance –
The MoFA emphasised that Pakistan is a responsible nuclear state and an important regional power. “Such fake news is not only misleading but also aimed at creating unnecessary tensions,” the spokesperson added.
Naamini hizi ni propaganda akika vibaya wakapata furusa watamuondoa. Kama Leo wameshambulia makazi ya Netanyahu basi naamini nae atashambuliwa furusa ikipatikana.
Kwenye suala la Israel, USA ina maslahi mapana na ndio sababu wagombea wa Rais Marekani hupita pia Israel initiallyBoooolshiiittt.,..!
Kamanda, mimi si wa level yako nina source lukuki kutokana na field niliyopo, na hapa naenda asteaste.Tuoneshe source ya habari yako ya awali hapa otherwise wewe hamnazo
mnadanganywaHabari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Umetunga hadithi nzuri sana hongera. Kwa taharifa yako sehemu ya nyukilia imefikiwa na kulikua na uboreshaji wa madini ya kinyukilia ili kutengeneza mabomu 9 ya nyukilia siku za usoni ndiyo maana Israel kaamua kupiga na kaharibu huo uwezeshaji. Wamepigwa kimkakati sana.Taarifa za kijasusi zasema Pakistan imesema Israel akitumia bomu lolote la kinyuklia au kukiharibu kinu cha nyuklia cha Iran (ambacho Israel kashindwa kukifikia) basi Paskitan nao watatuma kombora la nyuklia kwenda Israel.
Pia taarifa hizo za uhakika kabisa zasema ndege kutoka Ujerumani ilokuwa ikienda Israel kupeleka mizigo rubani alisahau kuzima Transponder hivyo imejulikana Ujerumani nao wapo vitani.
Hali hiyo imelazimisha Russia na China nao kutuma ndege zenye mizigo kuisaidia Iran kwa namna yoyote ile khasa kufuatia mazungumzo ya simu kati ya raisi Trump na raisi Putin ambapo Putin kamwambia Trump kwamba Israel imevunja sheria za kimataifa kuishambulia Iran katikati ya mazungumzo ya Iran na Marekani yanohusu mitambo ya Nyuklia.
Hivyo vita hivi vya kugombania rasilimali yapiganiwa na mataifa yote makubwa duniani kwa sasa ila mataifa hayo kimyakimya yako nyuma ya Iran na Israel.
Iran anaomba poo gemu iishe kautaka mwenyewe mtoto sasa hivi analia moto unaunguza cheche zinawaka anapeelekewa motoDuh aiseee
Una undugu na baba-mwajuma ?mnadanganywa
Jamaa ana Huruma sana, kamuhurumia Ayatollah safi sana, wamuache tu aone cha moto na aache kamdomo.Habari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Mapigano ya muda mrefu Iran hawezi. Vikwazo vimempa ukilema halafu Israel katikisa mfumo wa fahamu hivyo anaona maluelue. Ndo maana hata makombora yake anayarusha tu kama mwendawazimu yakipata tageti sawa yakikosa sawa.Ayatollah ni kiongozi wa dini sio mwanasiasa.
Iran HUWEZI ukaidhoofisha kwa kuua viongozi.
Viongozi wanakuwa replaced.
Wewe jidanganye kuwa unaweza kuidhoofisha Iran kwa kuua viongozi ilhali Kuna warithi nyuma wameandaliwa.
Na Iran ameshasema Yuko tayari kwa mapigano ya muda mrefu.
Sasa putin unamuona mtu yeye mwenyewe mara nyingi wapo kwenye mazungumzo ya amani alafu anarusha makombora kievTaarifa za kijasusi zasema Pakistan imesema Israel akitumia bomu lolote la kinyuklia au kukiharibu kinu cha nyuklia cha Iran (ambacho Israel kashindwa kukifikia) basi Paskitan nao watatuma kombora la nyuklia kwenda Israel.
Pia taarifa hizo za uhakika kabisa zasema ndege kutoka Ujerumani ilokuwa ikienda Israel kupeleka mizigo rubani alisahau kuzima Transponder hivyo imejulikana Ujerumani nao wapo vitani.
Hali hiyo imelazimisha Russia na China nao kutuma ndege zenye mizigo kuisaidia Iran kwa namna yoyote ile khasa kufuatia mazungumzo ya simu kati ya raisi Trump na raisi Putin ambapo Putin kamwambia Trump kwamba Israel imevunja sheria za kimataifa kuishambulia Iran katikati ya mazungumzo ya Iran na Marekani yanohusu mitambo ya Nyuklia.
Hivyo vita hivi vya kugombania rasilimali yapiganiwa na mataifa yote makubwa duniani kwa sasa ila mataifa hayo kimyakimya yako nyuma ya Iran na Israel.
Watu wengi hawajui repercussions za kuua head of state.Msisahau mwaka 1939 wakati chokochoko kabla ya vita vya pili vya dunia kuanza, hatimaye waziri mkuu wa Austria Ferdinand Archiduke aliuwawa pamoja na mke wake huko Sarajevo kwa bomu la kutegwa. Hilo lilipelekea kuanza rasmi vita vya pili vya dunia.
Trump kaona mbali. Kuua viongozi wa nchi ni hatua mbaya ambayo inaweza kusababisha vita vikubwa sana au nchi moja ndio ikawa imeshindwa vita tayari lakini chuki hiyo haitakuja kusahaulika kamwe kwa nchi iliyokumbwa na kadhia hiyo.
Mambo yataendele kufundishwa kwenye historia. Ipo siku watalipiza tu kisasi. Kwa mfano, kuna mwaka Japan alianza kuomba aondolewe vikwazo vya silaha kwa sababu anahisi Wachina anaweza kuja kulipiza kisasi kwa mateso waliyotendewa na Wajapani.
wewe!Wanajitetea Trump kawazuia kumbe wanajua kitakachofata ni hicho kinchi uchwara kitageuzwa juu chini, hamna cha Iron Dome wala nini Supersonic za Iran zinchakaza mji ndani ya sekunde
huyo ndiye aliyetamka maneno ya kuifuta israel kwenye ramani ya duniaAu wampoteze wampe yule mwehu Mahmoud Ahmadinejad aliyewahi kuwa rais, alikuwa na mikwara utadhani anaishi ubalazani mwa mbinguni.
Alikuwa akiongea na vidole utadhani mwehu.