Trump aizuia Israel isimuue Ayatollah

Trump aizuia Israel isimuue Ayatollah

Wanajitetea Trump kawazuia kumbe wanajua kitakachofata ni hicho kinchi uchwara kitageuzwa juu chini, hamna cha Iron Dome wala nini Supersonic za Iran zinchakaza mji ndani ya sekunde
Umelewa bangi?
 
Taarifa za kijasusi zasema Pakistan imesema Israel akitumia bomu lolote la kinyuklia au kukiharibu kinu cha nyuklia cha Iran (ambacho Israel kashindwa kukifikia) basi Paskitan nao watatuma kombora la nyuklia kwenda Israel.

Pia taarifa hizo za uhakika kabisa zasema ndege kutoka Ujerumani ilokuwa ikienda Israel kupeleka mizigo rubani alisahau kuzima Transponder hivyo imejulikana Ujerumani nao wapo vitani.

Hali hiyo imelazimisha Russia na China nao kutuma ndege zenye mizigo kuisaidia Iran kwa namna yoyote ile khasa kufuatia mazungumzo ya simu kati ya raisi Trump na raisi Putin ambapo Putin kamwambia Trump kwamba Israel imevunja sheria za kimataifa kuishambulia Iran katikati ya mazungumzo ya Iran na Marekani yanohusu mitambo ya Nyuklia.

Hivyo vita hivi vya kugombania rasilimali yapiganiwa na mataifa yote makubwa duniani kwa sasa ila mataifa hayo kimyakimya yako nyuma ya Iran na Israel.
 
Hiyo ni psychological warfare tu kuwatisha Iran waogope. Hakuna kitu kama hicho.

CNN ni propaganda arm ya mazayuni,

Iran anaendeleza operseheni yake ya kutoa kichapo ndani ya Israel
Kwa kubomoa majengo pembezoni mwa miji wanayoishi watu wa kawaida kabisa...anyway sisi kama tulivyosema tuna Dili na mapumbu ya Iran tu...Yan tunapiga mapumbu tu
 
Akimuua Ayatollah inageuka kuwa religious war.
Mashia Kila kona wataibuka.
Yani kheri umuue rais kuliko kiongozi wa dini wa kishia.
Weeh weeh utakoma.
Bladfaken shia bullshiiit...hakuna Cha kukoma Wala mavi yake kukoma...msijipe umuhim ilihali ni takataka tu...shia ndio mavi Gani...subiri tumuue KHUMANEI ndio mjue ...
 
Taarifa za kijasusi zasema Pakistan imesema Israel akitumia bomu lolote la kinyuklia au kukiharibu kinu cha nyuklia cha Iran (ambacho Israel kashindwa kukifikia) basi Paskitan nao watatuma kombora la nyuklia kwenda Israel.

Pia taarifa hizo za uhakika kabisa zasema ndege kutoka Ujerumani ilokuwa ikienda Israel kupeleka mizigo rubani alisahau kuzima Transponder hivyo imejulikana Ujerumani nao wapo vitani.

Hali hiyo imelazimisha Russia na China nao kutuma ndege zenye mizigo kuisaidia Iran kwa namna yoyote ile khasa kufuatia mazungumzo ya simu kati ya raisi Trump na raisi Putin ambapo Putin kamwambia Trump kwamba Israel imevunja sheria za kimatifa kuishambulia Iran katikati ya mazungumzo ya Iran na Marekani yanohusu mitambo ya Nyuklia.

Hivyo vita hivi vya kugombania rasilimali yapiganiwa na mataifa yote makubwa duniani kwa sasa ila mataifa hayo kimyakimya yako nyuma ya Iran na Israel.
Hii umetunga wewe hakuna mahali pakistan wamesema hivyo......
 
Bladfaken shia bullshiiit...hakuna Cha kukoma Wala mavi yake kukoma...msijipe umuhim ilihali ni takataka tu...shia ndio mavi Gani...subiri tumuue KHUMANEI ndio mjue ...
Siongei na mapapai.
Ndio maana niliacha kuku quote maana unaongea sana utumbo Yani unaropoka huongei fact.
 
Akimuua Ayatollah inageuka kuwa religious war.
Mashia Kila kona wataibuka.
Yani kheri umuue rais kuliko kiongozi wa dini wa kishia.
Weeh weeh utakoma.
Hakuna kitu kama hicho, hakuna dini hapo, naangalia Aljaazira hapa mkuu wa usalama Iran na Majenerali wawili wameshaliwa vichwa leo, ukiangalia kitaalamu mikakati ni ile ile waliotumia kwa Hizbollah
 
Nyuzi kama hizi TISS ndio wamejazana kuchambua vita za wenzetu.
 
Hakuna kitu kama hicho, hakuna dini hapo, naangalia Aljaazira hapa mkuu wa usalama Iran na Majenerali wawili wameshaliwa vichwa leo, ukiangalia kitaalamu mikakati ni ile ile waliotumia kwa Hizbollah
Ayatollah ni kiongozi wa dini sio mwanasiasa.
Iran HUWEZI ukaidhoofisha kwa kuua viongozi.
Viongozi wanakuwa replaced.
Wewe jidanganye kuwa unaweza kuidhoofisha Iran kwa kuua viongozi ilhali Kuna warithi nyuma wameandaliwa.
Na Iran ameshasema Yuko tayari kwa mapigano ya muda mrefu.
 
Kuongea hata Saddam aliongea, tunavyoongea ameshaoza
 
Hii umetunga wewe hakuna mahali pakistan wamesema hivyo......
Mida hii Pakistan wametoa taarifa ya kukanusha walokisema hapo awali na kusafisha hali ya hewa.

Ifuatayo ni taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Pakistan:

Pakistan denies reports of nuclear strike threat against Israel​

'Israeli media is spreading misinformation about Pakistan'.

The Ministry of Foreign Affairs (MoFA) has strongly rejected reports circulating in Israeli media claiming that Pakistan has threatened Israel with a nuclear strike, labelling them as “baseless and fabricated.”

According to details surfaced on Sunday, a spokesperson for the MoFA stated that there is no truth whatsoever to the reports being broadcast by Israeli outlets. “These claims are entirely unfounded. The Israeli media is spreading misinformation and presenting false narratives about Pakistan,” the spokesperson said.

– MoFA reiterates responsible nuclear stance –

The MoFA emphasised that Pakistan is a responsible nuclear state and an important regional power. “Such fake news is not only misleading but also aimed at creating unnecessary tensions,” the spokesperson added.
 
Analysts wanasema wapinzani wote wawili wana-hold back. Kitendo hicho kitapelekea an all out war. Trump anaogopa hicho, ukilinganisha wamarekani wengi wamechoka kuona kodi zao zinaenda kwenye vita za watu bila faida wala sababu za msingi. Na ndio sababu moja wapo wamemuweka trump madarakani. Hence the Ukraine aid reduction.
 
Kuongea hata Saddam aliongea, tunavyoongea ameshaoza
Saddam ni Saddam waajemi ni waajemi.
Kama kuua viongozi kunaleta manufaa basi hadi sasa Iran isingekua inajibu mashambulizi.
 
Back
Top Bottom