Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,517
- 46,374
Sina uhakika jamaa watakubali kwa kile aliwatenda October mmmm sijuwiHabari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Embu tuwekee picha au video ya hayo makazi ya Netanyahu yaliyoshambuliwaNaamini hizi ni propaganda akika vibaya wakapata furusa watamuondoa. Kama Leo wameshambulia makazi ya Netanyahu basi naamini nae atashambuliwa furusa ikipatikana.
Sina picha wa video, lakini source mbali mbali zimelipoti.Embu tuwekee picha au video ya hayo makazi ya Netanyahu yaliyoshambuliwa
Sekunde inaanza lini? Maana toka Jana mamia ya ballistic zinatulizwa na chache zinapenyaWanajitetea Trump kawazuia kumbe wanajua kitakachofata ni hicho kinchi uchwara kitageuzwa juu chini, hamna cha Iron Dome wala nini Supersonic za Iran zinchakaza mji ndani ya sekunde
Trump nae amezngua angetoa green light tuHabari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Mnapotosha!!!.. israel walimuomba Trump amuue ayatollah, Trump kakataa,maana kwa anachokifanya Iran hapo Israel, Trump hataki kuuingia ujinga wa kulinda kambi kisa ujinga wa netanyahuHabari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Hili likiisha, Israel harudii kumchokoza IranKuna watu humu wanatubeza tunaposti lakini ukweli kabisa nawambieni Israel Kwa hiki alichokifanya asipojiangalia ile Israel inageuzwa kifusi ndani ya siku 60.
Pro Israel mtanikumbuka
Msisahau mwaka 1939 wakati chokochoko kabla ya vita vya pili vya dunia kuanza, hatimaye waziri mkuu wa Austria Ferdinand Archiduke aliuwawa pamoja na mke wake huko Sarajevo kwa bomu la kutegwa. Hilo lilipelekea kuanza rasmi vita vya pili vya dunia.Habari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Wanajitetea Trump kawazuia kumbe wanajua kitakachofata ni hicho kinchi uchwara kitageuzwa juu chini, hamna cha Iron Dome wala nini Supersonic za Iran zinchakaza mji ndani ya sekunde
Israel anacheza nao kiakili, kama ameweza kumuua Mkuu wa majeshi, majenerali top karibia wote, rais aliyepata ajali fake, kajaza masnich kibao ndani ya mifumo yao ya kiusalama yote, basi yupo kimkakati sanaMnapotosha!!!.. israel walimuomba Trump amuue ayatollah, Trump kakataa,maana kwa anachokifanya Iran hapo Israel, Trump hataki kuuingia ujinga wa kulinda kambi kisa ujinga wa netanyahu
Akimuua Ayatollah inageuka kuwa religious war.Habari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.