Lahmpwa sikuelew unajua
Natamani sana kuwa kama huyo ila ndo bas tena.....ninalopenda kufanya silifanyi,nisilolipenda ndo linanifuata kila siku
ahahahahaaaaaaaaaaaa_my lovely wife yuko na hekima kama huyo,..i was so rude-if so to speak,..lakn kanibadilisha mpaka namuogopa,...i,e kila nikifanya baya hunionya kwa upole na hekima sana,....am real blessed to have her.
Let me be honest....hio conversation ingeishia swali la kwanza!!! kuna ng'ombe ana miguu miwili?
You sound like you woulda knocked the mofo half dead, man.
Aisee hongera sana...mi mtu akinitibua namchambaje?