Truly African Beauty

MelyssaFord.jpg
 
Mtoa post inaonekana wewe huwa unazimika na wapaka calorite... hakuna picha hata moja uliyoweka ambayo ni ile real natural african beuty, wote uliowaweka ni wapaka calorite....!!!
 
Mtoa post inaonekana wewe huwa unazimika na wapaka calorite... hakuna picha hata moja uliyoweka ambayo ni ile real natural african beuty, wote uliowaweka ni wapaka calorite....!!!

mathematics, ndugu yangu bora ulivyonisaidia maana nilivyosema nikaambiwa ninachuki. Allien, acha kuobssessed na ving'aavyo bado haujaniconvince kuwa ni natural african, minywele na carolite kwenda mbele, halafu kakamaa huyo sioni,ukiniambia au ukileta picha ya Alek Wek nitakufahamu.

Mimi naona umependa zaidi hiyo chakula ya mtoto
 
Last edited by a moderator:
yap hii ndiyo african beauty

Kumbuka kwamba kuna Bantus na wale wenye hermitic origin (wamasai, watusi, wahabeshi .....). Wote hao ni waafrika.

Hata wale wa Afrika ya kusini akina bushman mbona wako weupe kama wachina?

Usihukumu mtu kuwa mwafrika lazima ngozi yake iwe nyeusi....... angalia wahindi na aborigines wa australia wale wanaotoka katika ukanda wa tropic of cancer mpaka capricorn wote ni weusi tiiiii lakini wana masinga ndiyo tafauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom