Truly African Beauty

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Melyssa_Ford_3.jpg
 
Comrade Allen Umemtoa wapi huyu? pure! aisee
hongera vyovyote iwavyo hata kwa kuipata tu hii picha yatosha kukupongeza
 
kafanana na mamsapu wangu, almanusura nipige yowe kuwa wakware washaleta dhuluma...ila nilipomtazama tu hayo macho nikang'amua lahaulah si yeye.
 
Allien kazi unayo! Uzuri wa kwenye picha ungekuwa ndio kila kitu maisha yangekuwa matamu sana. We haya wee!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom