my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Katika movie ya pursuit of happiness muigizaji anasema hakuna true happiness isipokua watu wanastruggle kuitafuta true happiness.
Ndo maana kuna time mtu unakua na furaha kuliko wengine lakini hakuna true happiness.
Wewe unaonaje?True happiness ipo? Nini true happiness kwako?
Ndo maana kuna time mtu unakua na furaha kuliko wengine lakini hakuna true happiness.
Wewe unaonaje?True happiness ipo? Nini true happiness kwako?