hawa DAVO nasikia from Jamaa angu kuwa wameajiri kampuni mpya ya IT experts hivo wanashindana na ss wa mtahaani
Anyways wanaonekana kushinda tayari
Pamoja na kuwepo maexpert huko Davo pia member wa humu JF wanachangia kuzibwa matundu kwa tabia yao ya ndimi mbili.
Mjue siyo member wote ni wenzetu bali kuna wengine wapo humu kwa maslahi ya mitandao au kutokana na roho zao za korosho kama huyu
Sadru wamekuwa wakitoboa siri zinazofanyika humu mjengoni so tuwe huku store au chemba bado taarifa zitafika tu kwa ISP.
Humu jf kulichafukaga tangu zaman asee 2kahamiaga fb 2kafungua ka grup cha siri kisa mambo hyhya
Kweli kabisa kaka hata hawa mareseller pia wanachangia kuharibu hizi mambo, daily utakuta wanashindana kusaka shilingi kwa njia yoyote ile, matangazo kila sehemu iwe kwenye blogs zao,fB,twitter na popote pale kiasi kwamba hawangalii nani wamuuzie voucher muhimu kwao mpunga tu!!
Maeneo ya kitaa na vyuo wamejaa watumiaji wa hizi net za kuchakachua, humu JF tumekuwa na mashindano ya kuweka screen shoot jinsi tunavyokamua bandwith kinyama, kila anayepata download speed ya 800KBps au 1MBps lazima aweke bandiko kuwakoga wengine.
Matokeo ya yote watu wasioelewa vizuri wanafika hadi pale mlimani City kuomba wawekewe net ya bure ya PD proxy hivyo trick ilikuwa ikininginia tu kwenye kamba nyembamba.
PD limebuma port mpya zika ibua mzozo kati ya
munjy1 na
njunwa wamavoko pamoja na kaka mkubwa
C6 kujaribu kuondoa dhahama zile port mpya nazo hazikuchukua mda zikawa chali.
Watu tukahamia kwenye Plan B ya http tunnel si ndiyo mbwembwe za mareseller zikaanza tena hasa TG waliposupport VPN via http mzee mzima expert wa Guru
Paje kakoroma hapa tukamuona mzushi tu http haiwezi kufa bwana.......ghafla bin vuuu nayo ikawa chali.
Nawasikitikia
chief-mkwawa C6 na watumiaji wengine wa proxy maana nao wamesombwa na hichi kimbembe.
Nashauri kama tundu la kuponea litapatikana mchujo ufanyike kwa member kipaumbele kiwe kwa wanatech wenye michango ya maana humu, reseller waache mbwebwe pia wasiuze voucher kwa kila mtu Admin kule TG na PD wasiweke bandiko lolote lenye kutaja mtandao tunaotumia nasema hivi sababu hata sasa ukigoogle "tunnel guru setting for tanzania" data zinakuja bila chenga wakati sisi tunatumia mafumbo humu kule kila kitu kipo uchi.