TroubleShoot your TunnelGuru

TroubleShoot your TunnelGuru

kuna mdau kule kauliza kuhusu sharing kwa kutumia hii kitu ili kuweza kuhotspot,, jee kuna alofanikiwa?
mm nimejaribu kwa kutumia virtual router,inakubali kurusha wireless signal ila no service.
 
i used to transmit wireless using connectify, kwa kuchagua local area network 2... ila only kwa VPN, kwa sasa labda hujaribu hvyo by VPN over HTTP(s)
 
safi mkuu, through this tutaweza kusolve matatizo yote yatakayokua yanatusibu kuhusu TG. for starters, ni tweaks gani wakuu ambazo ukizifanya zina enhance speed kwenye TG? sometimes speed inakua mwendo wa kobe sana
 
Mhh, hapo sina usemi sana, labda certified reseller wetu njunwa wamavoko atuambie
 
Last edited by a moderator:
i used to transmit wireless using connectify, kwa kuchagua local area network 2... ila only kwa VPN, kwa sasa labda hujaribu hvyo by VPN over HTTP(s)

Hii kwangu bado inanipa shida, aliefanikwa naomba muongzo.
 
safi mkuu, through this tutaweza kusolve matatizo yote yatakayokua yanatusibu kuhusu TG. for starters, ni tweaks gani wakuu ambazo ukizifanya zina enhance speed kwenye TG? sometimes speed inakua mwendo wa kobe sana
  • Badili server iwapo speed haizidi 150kb/s pindi ufanyapo downloads
 
safi mkuu, through this tutaweza kusolve matatizo yote yatakayokua yanatusibu kuhusu TG. for starters, ni tweaks gani wakuu ambazo ukizifanya zina enhance speed kwenye TG? sometimes speed inakua mwendo wa kobe sana

sasa hapa inabidi kuwa specific kwamba speed gani ni kimeo
Upload i.e kufungua page au downloads?
Mm changamoto naipata ktk kufungua Pages kuna mda inakataa kufungua kabisa ninachokifanya mm natumia Proxifier with 127.0.0.1:6055
Kwenye mozilla nimepoint 127.0.0.1:6052 ili isiichukue data from proxifier

Sasa hapo kwenye mozilla mm ndo huwa na kwama kabisa kuna mda hata kufungua page ni imposible lkn ninachokifanya ninashift from 6052 na kuja 6054....Yani ghafla kitu inakuwa smooth lkn baada ya masaa kadhaa na hii sijui inakuwa je inabidi niibdilishe

So far mm kudownload files iwapo page zikifunguka sio shida hivo page ikibhatika kufunga lazima nishushe at the rate of 500kB/s-1MB/s

Hivo jaribu change hizo ports atimes au server if possible and usually choose the less Overloaded server kutoka server list
 
kwenye downloads kaka ila kwa page mihainisumbui sana mpka streaming videos kwa youtube nafanya kitu hakinasi
 
wakuu experiance niliyoipata mm proxifier inafanya vzur only kwa downloads,, ukitaka kustream au browse ya kawaida bora uset proxy manual.
 
i used to transmit wireless using connectify, kwa kuchagua local area network 2... ila only kwa VPN, kwa sasa labda hujaribu hvyo by VPN over HTTP(s)

kuna mdau kule kauliza kuhusu sharing kwa kutumia hii kitu ili kuweza kuhotspot,, jee kuna alofanikiwa?
mm nimejaribu kwa kutumia virtual router,inakubali kurusha wireless signal ila no service.

1.Nimeset proxifier hivo
nah2.jpg

2.install CCproxy
nenda options
npba.jpg

3.nenda ADVANCED iangalie picha ya juu
9euk.jpg

4.copy Parent IP adress ktk process 2
iweke ktk tool ya proxy utakayotumia ktk kupokea hizo Wi-Fi
gsgm.jpg

5.Install Virtual routers e.g mHotspot,Connectify
Internet to share chagua chagua Internet ya kawaida

Credits to kejof2
 
Shukrani sana mkuu,...
 
njunwa wamavoko

Ndg, I was 1of ur clients using MeteorVPN ila ikakata ghafla na naskia ndo bye bye hvo...another altenative ile ya http//: sijaielewa vzr ndg, niko nje ya mji ba sina namna ya kupata msaada soon!...help!
 
mbona ni rahisi kutumia na SPEED ni kubwa ajabu tofauti na matarajio yangu
Emu nitafute FASTER ule vitu vitamu I see
y2nu.jpg
 
njunwa wamavoko, may you come this way!

Tuambie mwenzetu, hivi, are you getting torrents to download??? How do you do it. Nimejaribu sana bila mafanikio technique zote ambazo nazisikia!!!!!
 
Last edited by a moderator:
njunwa wamavoko, may you come this way!

Tuambie mwenzetu, hivi, are you getting torrents to download??? How do you do it. Nimejaribu sana bila mafanikio technique zote ambazo nazisikia!!!!!

Nimepokea haya malamiko mengi sana sio kwako tu
Mm sio mpenzi sana wa Torrent nikasema leo ngoja nijaribu nione kama wakisemacho ni kweli au la!
mm kwangu inakubali bila shida yoyote na leo file nililojaribu speed ina range 200-500kB/s
natumia proxifier nimeset 127.0.0.1:6055...sijui wenzangu mnakosea wapi
client ya torrent natumia BitComet
2vav.jpg

Aione NingaR
 
Mi kwangu pia Torrent zinafanya kazi fresh kabisa, setting zangu za Bittorrent
TG.PNG
 
Njunwa wamavoko

Kaka nime kuPM, send me ur numba au nitxt tufanye mawasiliano basi ASAP.! Hii kitu ni muhimu ati
 
Back
Top Bottom