Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Shirika la Reli hivi karibuni linatarajia kupandisha gharama za nauli kwa 50% kwa abiria wa daraja la tatu na 25% kwa daraja la kwanza na la pili!
Kulingana na mpango huo Sumatra inawaomba wadau wote wa shirika hili kuhudhuria majadiliano juu ya mpango huo wa upandishaji wa nauli.
Ukusanyaji maoni kupitia mjadala huo utafanyika kesho tarehe 10/05/2012 pale Karimjee Hall majira ya saa nne(4:00) asubuhi.
My take: Sio wakati muafaka wa kupandisha nauli, badala yake waboreshe kwanza mabehewa & engine zake"