Trinidad and Tobago

Trinidad and Tobago

Gajungi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
257
Reaction score
83
Heri ya mwaka mpya wakuu. Naomba kama kuna mtu anamfahamu Mtanzania anayefanya kazi Trinidad and Tobago hasa kwenye secta ya afya anipm. Nina hitaji kubwa la contact katika nchi hyo maana huenda soon nikatakiwa kwenda huko. SHUKRANI
 
Back
Top Bottom