Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

Pamoja na maendeleo yote hayo raia wengi wa Ethiopia wanaishi kwenye umaskini mkubwa. Sijui Afrika tunakosea wapi mpaka tunashindwa kufanya uwiano ulio sawa.. Nafikiri Tanzania tunaelekea huko pia, miundombinu bora itapatikana ila raia wakutumia hiyo miundombinu wataishi kwenye umaskini mkubwa.
Pia hao jamaa si ndio wanaongoza kukimbia nchi yao?!
 
kijana tulia tutafika tu huko historia ya Ethiopia huwezi kulinganisha na yetu wapo tokea enzi za biblia (kushi).hawakutawaliwa pia kwa hiyo wakayi mwingine lazima wawe juu
tunakuja tutafika tu huko tusijidharau
 
Wapo vizuri sisi hatujui kesho yetu...nchi ya giza hii Rais hana mwanga kabisa..

Duh miaka 100 ndo tutawafikia Ethiopia kwa huyu mwendokasi wetu

Flyover yetu ingekuwa imeisha lakini akuna kitu kinacho endelea upuuzi mtupu

Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wotee×2 enziii hizoo za Mwalimu Nyerere apumzike kwa Amani.
Kama nchi itaendeshwa kwa matamko, kauli mbaya, marufuku, vitisho na mipasho badala ya sheria, kanuni, taratibu na sera, utategemea nini?
 
Pamoja na maendeleo yote hayo raia wengi wa Ethiopia wanaishi kwenye umaskini mkubwa. Sijui Afrika tunakosea wapi mpaka tunashindwa kufanya uwiano ulio sawa.. Nafikiri Tanzania tunaelekea huko pia, miundombinu bora itapatikana ila raia wakutumia hiyo miundombinu wataishi kwenye umaskini mkubwa.
Tatizo linaanzia pale waleta hayo yanayoitwa maendeleo na wajenzi wa hiyo miradi ya maendeleo wanapotumia miradi Husika kama kivuli cha kuvushia migao yao. Mtu anaingia mkataba wa kuifilisi nchi alafu nchi anayotoka mwekezaji huyo inatoza Mkopo kwa ajili ya kuwajengea uwanja wa ndege wa kisasa.

Tafakari kwa utulivu ule mradi wa ujenzi wa machinga complex na jinsi majengo yale yanavyotumika ndipo utajua Dhamira hasa ilikuwa ni kuwasaidia machinga Au!?
 
Hawa Ethiopia sasa ndo wanaweza shindana na Kenya kwa miundombinu, Tz tushindane na Malawi au Burundi
Isikutishe hiyo reli na huduma ya usafiri wa anga. Naamini wahabeshi wapo nyuma yetu kimaendeleo. Nilifika Addis nikaona maendeleo ya mji huo si sawa na Dar, tupo juu. Ukifika huko jihadhari matapeli wa kutosha kila Kona.
 
Mbongo akiona kitu kizuri Kenya, Ethiopia,Nigeria, South Africa n.k anaanza kulalamika..serikaIi yetu imelala ndo maana hatuna hii na ile....mnasahau nyie ndo watanzania mnaitakiwa kufanya mazuri kwenu badala ya kulialia kwa wivu
 
Utafanya vizuri kama utapewa mazingira hayo!! Embu cheki juzi mswaada wa sheria ya kuwabana wafanyakazi na mapato yao!! Kwa hali kama hiyo unatarajia utafanya vizuri?
 
Mbongo akiona kitu kizuri Kenya, Ethiopia,Nigeria, South Africa n.k anaanza kulalamika..serikaIi yetu imelala ndo maana hatuna hii na ile....mnasahau nyie ndo watanzania mnaitakiwa kufanya mazuri kwenu badala ya kulialia kwa wivu
Wanajua miundombinu NI hizo train na flyover tu....
Wawaulize watu waliokuwa wakiizunguka hii nchi kwa miaka walau 15 ndio watawasimulia maendeleo yaliyopatikana.
 
yaani mimi napenda sana mbwa ila ndo hivyo nimepanga kwa Muislam hataki mbwa
Nani aliekuambia Muislamu hafugi mbwa, ispokua mbwa anatumikaje sio mbwa koko wako wanaopita kuokota mizoga ya watoto wachanga wanaotupwa. Halafu kama unapanga unawezaje kufuga jenga nyumba yako ndipo ufikilie kufuga, mwenyewe hujiwezi alafu unataka kuleta mbwa, mbwa huo utakua unafuga wewe au mwenye nyumba.
 
yaani mimi napenda sana mbwa ila ndo hivyo nimepanga kwa Muislam hataki mbwa
Wee nawe! nyumba ya kupanga halagu unataka kufuga na mbwa? yaani umepanga kachumba kamoja au chumba na sebule halafu unataka ufuge na mbwa?hapana jenga yako ndo ufuge ndio itakuwa poa,halafu mimi ni mwislamu nina mbwa pia, sio kweli kwamba ukiwa mwislamu hurusiwi kufuga dog.
 
Back
Top Bottom