Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

bongo-live

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
1,017
931
1473533241177.jpg
1473533247266.jpg
1473533254584.jpg
1473533264655.jpg
1473533277194.jpg
1473533294624.jpg
1473533330514.jpg
1473533345664.jpg
1473533366804.jpg
1473533385784.jpg
1473533397454.jpg
1473533416024.jpg
1473533431154.jpg
1473533448384.jpg
1473533465375.jpg
 
Nimevipenda sana vituo viko simple hakuna haja ya kugharamika utengenezaji wa vituo ambao ni sawa na hizi treni za ethiopia.
 
Pamoja na maendeleo yote hayo raia wengi wa Ethiopia wanaishi kwenye umaskini mkubwa. Sijui Afrika tunakosea wapi mpaka tunashindwa kufanya uwiano ulio sawa.. Nafikiri Tanzania tunaelekea huko pia, miundombinu bora itapatikana ila raia wakutumia hiyo miundombinu wataishi kwenye umaskini mkubwa.
 
Ethiopia kuzuri mjini tu na inapambwa na wale warembo watamu haswaa, ila ukienda pembeni utakimbia, utatamani hata Kule kwetu umatumbini.

Ila ile mitreni yetu ya Dar, duuh! Kuna yenye sura mbaya mpaka inachafua sura ya mji
 
Back
Top Bottom